Babu Duni aonekana Zanzibar

Babu Duni aonekana Zanzibar

tumsamehe bure mkuu! Maana hata twaweza walikiri kua ccm inaungwa mkono na wajinga wengi, yaani wasiosoma! Kwahiyo kubali kua ndani ya ccm kuna wajinga kibao, huenda naye ni mjinga.
well said mkuu maana nilikua nastajabu . Ndio yale nilisema kabla mtu hujaandika kitu weka katika fikra zao kua unaowaandikia ujumbe huonwanajua zaidi yako mara zote huta pata challenge ila ukiandika kishabiki utaishia kuaibika kama yy si kundi la ccm wajinga ajitokeze atetee uzi wake wa kitoto huo
loo, halafu lumumba mbona wana vijana liability sana maana kama wanafanya siasa nyepesi kama hizi basi wamepoteza
 
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa

Hahahahaha haya subiri bao la mkono

Ivi MTU anafikaje PHD halafu English hajui?
 
Dr. Slaa alianza hivi hivi then jipu likapasuka... Lakini kiukweli kabisa kupenda chama na kukitumikia ni swala litokalo ndani ya moyo wa mtu, anayechukua kadi leo ili kesho agombee huyo anafuata madaraka tu, hana mapenzi na chama hicho. Kabla ya kuanza kuchunguzwa Babu Duni basi aanze kuchunguzwa EDO sababu wote wana asili moja ya uvamizi wa vyama kwajili ya vyeo
 
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa

attachment.php

attachment.php
 
Hiki ndio kile kitengo cha masaki , mbona kina vijana wa kiwango duni sana ?
 
hahahaha....Babu Duni wameshamzomea hadi amekosa amani akaona hawa watu wa bara

Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe !? Mwenzako Davis (YAHAYA) moshi anaisoma ukawa,kila anapopita anazomewa huku anaimbiwa wimbo wa yahaya unaishi wapi!? anatembea na mabaunsa kupiga wanaomzomea ,tatizo hawapati maana ni wengi mno.
 
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa

Babu duni kashaona mwelekeo wa kuwa Magufuri ndo rais
 
Jamaa anaongeaga kama Kingwendu halafu eti ndo Makamu wa Rais lol
 
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa
Unataka kusema hatakiwi kwenda Zanzibar? unajuaje ameenda kuandaa mkutano wa EL wa leo
 
Huyo babu duni utadhani kakakuona akionekana mpaka watu wanashangaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom