Hahahahahaaaa
Yaani kudadadadadeki na hakyamama leo umenikamata. Khaaa!!!!
Kwa hasira, kuanzia kesho ntatumia staili ya chura kajamba kumpa haki yake bibi yako. Mpaka niteguke mgongo walah.
Yani wewe. We acha tu... Umenletea mkwedebo mpaka sebuleni kwangu! Ntakutia bakora makalioni, we ngoja tu.
I wish nione hiyo style ya chura duhh!!!
Mjukuu taratibu, usijeteguliwa nyonga bure.
Si hospital zipo mie shida nione tu hiyo style
Mimi ndo hospitali. kam zis wei PM pliiz...
Mh! Babu huo msura kama unapuliza moto ndo nini? Kumbe ndo upo hivyo!walah ntaota!
I will b there
Waiting....
Na hapo ndo nimetinga vitu adimu. Usinitenge tafazali. Sura hata mchina anatengeneza...
nakwambia Heaven on Earth huyu mzee leoMi kama Gegedo lipo BAASIII mengine sina habari nayo
kabisaaa
wewe mzee una visa wewe hata haya huna na kesho nakujia huko huko fyatanga
nakwambia Heaven on Earth huyu mzee leo
nimemuibukia kwenye uwanja wake wa nyumbani acha ajishauwe mara mkodobwe
mara sijui ntakulalia na kilo zangu 83 mpaka minyoo yote tumboni
ihamaki kajiongelesha weee mie namchora tu, kwa kutongoza huyu mzee
hawezekani
Kuna kitu unanyimwa hapo best. Stukaaa! Shkamoo yote hiyo kwa uzee gani ulio nnao?