Babu ASPRIN Shikamoo!!!!

Babu ASPRIN Shikamoo!!!!

Hahahaaaaa,babu Asprin umepatikana leo!Tatizo la kucheza na wajukuu wa kike ndio hilo!
 
Last edited by a moderator:
Dar mzee niko peke yangu. Wazee wenzangu uzee wameupaki Chalinze pale.

Duhhhh babu Asprin ungejua unavyolalamikiwa na vijana humu JF kuwa mnapigana sana vikumbo kugombea visura,wakati bibi tunamfahamu!
 
Last edited by a moderator:
Duhhhh babu Asprin ungejua unavyolalamikiwa na vijana humu JF kuwa mnapigana sana vikumbo kugombea visura,wakati bibi tunamfahamu!

Wananipakazia bana. Umri huu huwezi amini mpaka baioloji isimame ni lazima kwanza niangalie porn. Tena imefikia mpaka nione zile za kutumia line ya 0713. Na ikisimama jinsia pinzani ìsichelewe kutumbukizamo vinginevyo akichelewa ikalala, ujue haitasimama tena mpaka baada ya mwezi mmoja.
 
Duhhh kama ni hivyo pole sana,itabidi uwe unatembea na stuli,ikisimama unaiwekea stuli kuiegemeza ili isilale!Hahaaaaaa,babu nilijua wewe hiyo misamiati ya hiyo mitandao hujaijua,kumbe wajukuu washakufundisha?Maana bibi najua atakuwa hajui!
 
Ndo uzuri wa kuwa karibu na wajukuu, hasa wa kike manake vitu vingine wananifundisha kwa vitendo.
 
Wananipakazia bana. Umri huu
huwezi amini mpaka baioloji isimame ni lazima kwanza niangalie porn.
Tena imefikia mpaka nione zile za kutumia line ya 0713. Na ikisimama
jinsia pinzani ìsichelewe kutumbukizamo vinginevyo akichelewa ikalala,
ujue haitasimama tena mpaka baada ya mwezi mmoja.

walo kuita bazazi hawajakosea kabisa maana mzee weye ushakuwa majununi laanakum
 
Hahahah haya yote
kayasababisha mzee Mtambuzi. Kaja na mchuchu
afu akaondoka nao kabla sijaukagua.

halafu yule mhudumu niliona alikupa bili yenye namba ya simu halafu ukaificha mfukoni wewe mzee hujatulia hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Umerudi? Ngoja nikakubake PM.

Ha ha ha ha ha haaaaaa
PM nimezi block kitambo sitaki kero miye. vipi uko pale pale au facebook mikufuate usijeandika na mate bure wakati wino upo
 
halafu yule mhudumu niliona alikupa bili yenye namba ya simu halafu ukaificha mfukoni wewe mzee hujatulia hata kidogo

Mtambuzi ndo alinambia nimchukulie. Huoni alivyong'ang'ana ailipie wakati mwenyeji mwema na mwenye heri nilikuwepo?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha haaaaaa
PM nimezi block kitambo sitaki kero miye. vipi uko pale pale au facebook mikufuate usijeandika na mate bure wakati wino upo

Niko Hisaje, nlikuwa nasuluhisha mgogoro wa mzembe mmoja hivi. Wenzake tunafumaniwa gesti, yeye anafumaniwa msg eti.
 
Hivi leo Aseno watashinda kweli ....lol!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom