Hebu bitumen picha nione uvimbe ulivyokuwa. PM lakini.Mmmh, kaone pua ya samaki wee siyo Viatu pekee[emoji3] [emoji3]
10 years back mkuu, picha zenyewe ilikua ni zile cameraman akipita mitaani, na siku hiyo hakupitaa[emoji16] [emoji16]Hebu bitumen picha nione uvimbe ulivyokuwa. PM lakini.
Hahaaa, yaani alitengue ulione vizuri akii, hatolitaka tena hilo embe[emoji3] [emoji3] ,case closedMimi: mbona silioni
Babe: Jamani babe lile pale juu,
Mimi: Thibitisha kwamba lipo
Babe: Mbona linaonekana kabsa,
Mimi: Litengue basi mana mm silion, nihakikishe kwamba lipo.
Babe: Jaman unatani wewe.
Akishindwa tunaishia hapo nina utan tunasepa na mapenzi ni motomoto.
Chukua hili lililoiva mwanangu
Mchaw mpe mwanao, hawez mroga. Tunawekana majarbun wakat yy mwenyewe hathubutu ata kuongea kwa saut kubwa karbu na hao nyuki leo mm nitengue embe.Hahaaa, yaani alitengue ulione vizuri akii, hatolitaka tena hilo embe[emoji3] [emoji3] ,case closed
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , hapo utakua umemuweza hakika, atabadilisha mada, hapendagi maembe[emoji3] [emoji3]Mchaw mpe mwanao, hawez mroga. Tunawekana majarbun wakat yy mwenyewe hathubutu ata kuongea kwa saut kubwa karbu na hao nyuki leo mm nitengue embe.
Hahaha mapenzi ya mitego mwisho kuvaa nusu uchi sio kwenye nyuki.[emoji3] [emoji3] [emoji3] , hapo utakua umemuweza hakika, atabadilisha mada, hapendagi maembe[emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanangu Hilo sio embe ni tunda la shetani.
Acha uoga mkuu, watoto wazuri utaishia kiwaita shemejii shauri yako, tunyuki huto tu ndyo unaogopa hivo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha mapenzi ya mitego mwisho kuvaa nusu uchi sio kwenye nyuki.
Acha niite shemeji. Hivyo viumbe vikikupga unakojoa asali.Acha uoga mkuu, watoto wazuri utaishia kiwaita shemejii shauri yako, tunyuki huto tu ndyo unaogopa hivo[emoji3] [emoji3] [emoji3]