Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,916
- 14,592
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa, kama nakuona utakavo move file to documentsNitalishusha na window 7, mbona simple.
Hapo ni kutwanga hao nyuki na jiwe ili ajue mahusiano hayahitaji mbwembwe.Hahaaa, kama nakuona utakavo move file to documents
Hahaaa,hizo nduki usishangae yeye ndye atakuzidi, usichezee nyuki aiseeHapo ni kutwanga hao nyuki na jiwe ili ajue mahusiano hayahitaji mbwembwe.
Niliwahi kuumwa na nyuki mpaka nikawa nakojoa asali. Sipendi hao wadudu.Hahaaa,hizo nduki usishangae yeye ndye atakuzidi, usichezee nyuki aisee
Hahaaaa poleee, uliwachokoza eeh,mi niling'atwa kwenye paja aisee nilishindwa kuelewa yale maumivu yake, ni nyuki kweli au chui hahaaNiliwahi kuumwa na nyuki mpaka nikawa nakojoa asali. Sipendi hao wadudu.
Nyuki hawajawahi kuniangusha, mbali na paja hawakupanda kwa juu kidogo?Hahaaaa poleee, uliwachokoza eeh,mi niling'atwa kwenye paja aisee nilishindwa kuelewa yale maumivu yake, ni nyuki kweli au chui hahaa
Viatu mchokozi wewe, hawakupanda juu wapi mfyuuuNyuki hawajawahi kuniangusha, mbali na paja hawakupanda kwa juu kidogo?
🤣Viatu mchokozi wewe, hawakupanda juu wapi mfyuuu
Juu ya paja kwenye meeting point?Viatu mchokozi wewe, hawakupanda juu wapi mfyuuu
Mmmh, kaone pua ya samaki wee siyo Viatu pekeeJuu ya paja kwenye meeting point?
Duuh🤣
Kuelekea papuchini