Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,839
Hahahahaha
Ukisoma kwa makini kuna funga na fungua semi...
Mwanzo kabisaa na mwisho, mie nilijua anamfariji mleta mada kama tulivyofanya ila kaja kwa namna yake!
Mimi nlikuwa najua wewe ni mwanamke makini, Leo hii nadhidi kuthibitisha kwamba wewe ni mmoja wa wanawake makini sana hapa jukwaani.Hahahahaha
Ukisoma kwa makini kuna funga na fungua semi...
Mwanzo kabisaa na mwisho, mie nilijua anamfariji mleta mada kama tulivyofanya ila kaja kwa namna yake!
Mie mesoma hadi nikahisi naambiwa mie, nikajiambia zinduka anaambiwa SweetleeNimemuelewa vizuri sasa, na kauvaa uhusika hasa!! Loh' wewe Relief usirudie nini unakuwa kama yeye bwana!! π
Mimi nlikuwa najua wewe ni mwanamke makini, Leo hii nadhidi kuthibitisha kwamba wewe ni mmoja wa wanawake makini sana hapa jukwaani.
Tena angalia na statement yangu ya mwisho ile nliyomuuliza does this heal?? Utaiona ipo nje ya funga na fungua semi. I know you know why.
Nimeyaona mkuu ndo maana sikupata tabu kujua wewe ni kama sisi tuu! Tunamtia moyo bibie!Mimi nlikuwa najua wewe ni mwanamke makini, Leo hii nadhidi kuthibitisha kwamba wewe ni mmoja wa wanawake makini sana hapa jukwaani.
Tena angalia na statement yangu ya mwisho ile nliyomuuliza does this heal?? Utaiona ipo nje ya funga na fungua semi. I know you know why.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnanifurahisha sana aisee. JF hapa kweli unategemea watu wasome kwa makini tena Kiingereza; na wazingatie alama za funga na fungua semi? Kwa muda na elimu ipi? Watu tunajua hata hizo alama zinatumikaje na zinabadilije maana?
Sawa kaka!Matokeo ya shule za kata na lugha iliyotumika labda. Mimi sikuelewa kabisa na hata sasa sijaelewa. But again haya ni mambo ya watu tuyaache tu yalivyo... [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nimependa ulivyovaa uuhusika wako..[emoji106]Haswaaaa....
Lakini tena ndio ametokea msela akaamua kuwaza alivyowaza
Nsirudie nini tena??Nimemuelewa vizuri sasa, na kauvaa uhusika hasa!! Loh' wewe Relief usirudie nini unakuwa kama yeye bwana!! π
I dont know, why are U doing this?Do you really understand how many times I've cried listen to this song..??
Nimekuelewa vizuri Relief, and thanks so much for your concern..!!Nsirudie nini tena??
I felt for you and I thought may be I could do something, but believe me that msg has so much of a message hidden. There is one person in here, who will come and open it up
Kweli mapenzi nyokoo, unaempenda walaaa hana habari usompenda anavyohangaika na wewe sasa[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha! Sitaki uchokozi halafu Atoto,
ππππππππππππππMie mesoma hadi nikahisi naambiwa mie, nikajiambia zinduka anaambiwa Sweetlee
thank you so so much, I am so blessed by this Mnazareth .!!It seems u are a such a voluptuous lady who deserve so many compliments and yet u are here grovelling upon the man who doesn't know how worth u are....
Either u vaguely or u were just amusing us but in anyhow u don't deserve to be down..
Don't be vindictive just forgive and move on with ur life.....
Rejoice and celebrate this life that the Almighty has given us....
Life is too short my dear be happy and enjoy the life to the fullest...
BAK sasa njoo usemee yako hapa.Do you really understand how many times I've cried listen to this song..??