Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Kama ni kweli kwanini mnatengeneza picha za nyomi?
VIDEO LIVEE LOWASSA NI MGONJWA JAMANI
https://www.facebook.com/1051462194888510/videos/1093728493995213/
Kwani kwenye FIESTA watoto hawaruhusiwi? ulitaka wasiende kuona bongo fleva na bongo muvi kwani kulikuwa na kiingilio? acha watoto wafurahi kumuona alikiba na yamoto band. watu wengine uwanjani wala walikuwa hawajui kuwa kuna mkutano wa siasa, huko mtaani story ni jinsi muziki ulivyokuwa mtamu na jinsi bongo movi walivyo vaa, wala hawakumbuki kufuli lilikuwa linasema nini.Mbona watoto ndio wengi? Hahahaaaa wana kadi za kupigia kura?
UKAWA Vigeugeu na hasa huyu m/kiti wetu
Kama nimewahi kusema lowasa ni mwizi haikuwa akili yangu na Mungu anisamehe- lema arusha.
Viva ukawa viva