Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Nadhani NI hasira Tu na alikuwa emotional Sana CCM wanaweza kulielewa hiloAtapita tu
Baba Levo alifanya kazi kubwa sana alipokuwa diwanitukiwambia chawa wote hawana akili timamu huwa mnabisha😆
hatutaki kujua hiloBaba Levo alifanya kazi kubwa sana alipokuwa diwani
And he opposes No Reforms, No Election...Ni subconscious reaction mkuu! 🤣🤣 kuibiwa ushindi sio mchezo
Exactly 💯 😂 😁tukiwambia chawa wote hawana akili timamu huwa mnabisha😆
Kwa maneno tu ukimsikia matendo yake ni kwamba anaiunga mkono kabisa.And he opposes No Reforms, No Election...
Bila hata kutumwa, nadhani pia record yake inambeba pale KigomaBaba Levo ameshinda kihalali inabidi apewe ushindi wake halali na ninachojua huyo Baba Levo atateuliwa na Sisiemu kwakuwa katumwa na Diamond sio kwamba kajituma na Diamond anawasaidia sisiemu katika mambo yao ya kampeni so is about win win game.
Swala la integrity litajulikana Ila huyo Mbunge aliyekuwa nafasi ya kwanza hawezi kushinda .
Wasanii mnachukiana sana ila Sisi wenye CCM yetu tutampitisha akashindane na kijana mwenzake Ustaadh Abdul Nondo 🐼hatutaki kujua hilo
cha muhimu kakosa basi🥵
CCM inawataka sana watu kama huyuHuyo hata uteuzi ndo basi hapati tena discipline ndogo..NI aidha afanye maamuzi magumu agombee upinzani anashinda mapema Sana asubuhi au arudi wasafi kwa boss wake diamond