johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Kawaida sana bwashee iwapo Spika atazingua šHuyu hata Bungeni anaweza kumvamia Spika na kumpora 'kihuni' karatasi kama alivyofanya kwa Katibu wake wa Wilaya wa CCM
Kawaida sana bwashee iwapo Spika atazingua šHuyu hata Bungeni anaweza kumvamia Spika na kumpora 'kihuni' karatasi kama alivyofanya kwa Katibu wake wa Wilaya wa CCM
mmipitishe how na kashatewaa?Wasanii mnachukiana sana ila Sisi wenye CCM yetu tutampitisha akashindane na kijana mwenzake Ustaadh Abdul Nondo š¼
Bila hata kutumwa, nadhani pia record yake inambeba pale Kigoma
Uliza mwanaFA na Katambi waliingiaje bungeni 2020? ššmmipitishe how na kashatewaa?
We mzee umelewa?
Baba levo acha kujipa matumani hewa š umeshindwa kupenya tulia fanya mambo mengine.Baba Levo ameshinda kihalali inabidi apewe ushindi wake halali na ninachojua huyo Baba Levo atateuliwa na Sisiemu kwakuwa katumwa na Diamond sio kwamba kajituma na Diamond anawasaidia sisiemu katika mambo yao ya kampeni so is about win win game.
Swala la integrity litajulikana Ila huyo Mbunge aliyekuwa nafasi ya kwanza hawezi kushinda .
Hujui ushindi anaamua ccm sio ishu ya kuraHuyo hata uteuzi ndo basi hapati tena discipline ndogo..NI aidha afanye maamuzi magumu agombee upinzani anashinda mapema Sana asubuhi au arudi wasafi kwa boss wake diamond
Hamna nifanye mambo gani je hela nilizotumia zinarudije ?Baba levo acha kujipa matumani hewa š umeshindwa kupenya tulia fanya mambo mengine.
Hao ndio wahuni wanao semwa. Yaani wamesha jiona wao ni kila kitu. Chawa ni hatariClayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa.
Kitendo chake cha kumpora 'kihuni' karatasi ya matokeo Katibu wake wa CCM wa Wilaya, aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa mgombea wa CCM jimboni humo, ni ukosefu wa nidhamu na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za chama chake-CCM.
Alipaswa kuwa mtulivu na msikivu. Kama kuna malalamiko yoyote aliyonayo, alipaswa kuyawasilisha kwa viongozi wake kwa mujibu wa taratibu za chama chake. Taarifa bado zitawasilishwa Kamati Kuu na uamuzi wa nani hasa ni mgombea wa CCM Kigoma Mjini utafanywa huko.
Ni kwakuwa hazijui taratibu za kichama au alikuwa na ajenda zake zilizojificha kuhusiana na uhalali wa uchaguzi ndani ya chama chake? Si mara moja wala mbili, Kamati Kuu ya CCM imewahi kuwapitisha walioshika nafasi za pili, tatu na hata nne kwenye kura za maoni. Fujo zake zimemharibia kabisa.
Unajuwa alivyokilea chama wakati wa utawala wake?Baba Levo ameshinda kihalali inabidi apewe ushindi wake halali na ninachojua huyo Baba Levo atateuliwa na Sisiemu kwakuwa katumwa na Diamond sio kwamba kajituma na Diamond anawasaidia sisiemu katika mambo yao ya kampeni so is about win win game.
Swala la integrity litajulikana Ila huyo Mbunge aliyekuwa nafasi ya kwanza hawezi kushinda .
no returnHamna nifanye mambo gani je hela nilizotumia zinarudije ?
SjjakuelewaUnajuwa alivyokilea chama wakati wa utawala wake?
Unajua pale wasafi sitangazi tena sina Vyeti je watoto wangu wataishije ?no return
kwani umetumia hela zako au za diamond?
Baba levo is outšKuna sehem nimesoma eti Mungu alifanya uumbaji na siku ya saba alipo maliza na kupumzika, shetani akaiba udongo na kuumba wajumbe š¤£
Si uchawa aendeleeeUnajua pale wasafi sitangazi tena sina Vyeti je watoto wangu wataishije ?
Uchawa haulipi kwa sasaSi uchawa aendeleee
Ova
Kwanini asishinde na ccm wako peke yao kwenye huo uchaguzi.Baba Levo ameshinda kihalali inabidi apewe ushindi wake halali na ninachojua huyo Baba Levo atateuliwa na Sisiemu kwakuwa katumwa na Diamond sio kwamba kajituma na Diamond anawasaidia sisiemu katika mambo yao ya kampeni so is about win win game.
Swala la integrity litajulikana Ila huyo Mbunge aliyekuwa nafasi ya kwanza hawezi kushinda .
Aendelee kuimba mziki basi dktUchawa haulipi kwa sasa
Alikuwa diwani wa cuf,Baba Levo alifanya kazi kubwa sana alipokuwa diwani