chelsea fc JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 864 Reaction score 213 Nov 27, 2012 #2 hiyo boti ya nani ya kwake,kuna tetesi nilisikiaga kuwa eti huyu ndiye raisi maskini wa marekani kati ya maraisi wote :whistle:
hiyo boti ya nani ya kwake,kuna tetesi nilisikiaga kuwa eti huyu ndiye raisi maskini wa marekani kati ya maraisi wote :whistle:
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 405 Nov 28, 2012 #3 Huyu jamaa anaipenda sana familia yake.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Nov 28, 2012 #4 baba ake Sasha
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Nov 28, 2012 #5 Gosbertgoodluck said: Huyu jamaa anaipenda sana familia yake. Click to expand... ...kwa kuangalia picha zake tuu au una kigezo kingine?
Gosbertgoodluck said: Huyu jamaa anaipenda sana familia yake. Click to expand... ...kwa kuangalia picha zake tuu au una kigezo kingine?
andate JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 2,651 Reaction score 1,029 Nov 28, 2012 #6 chelsea fc said: hiyo boti ya nani ya kwake,kuna tetesi nilisikiaga kuwa eti huyu ndiye raisi maskini wa marekani kati ya maraisi wote :whistle: Click to expand... ni kweli kabisa
chelsea fc said: hiyo boti ya nani ya kwake,kuna tetesi nilisikiaga kuwa eti huyu ndiye raisi maskini wa marekani kati ya maraisi wote :whistle: Click to expand... ni kweli kabisa
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 Nov 28, 2012 #7 Babaake mwanahawa!
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Nov 28, 2012 #8 Gosbertgoodluck said: Huyu jamaa anaipenda sana familia yake. Click to expand... Nadhani hakuna baba asiyeipenda familia yake ila hatuna resources za kufanya mambo ya kifahari. mtu huna unga nyumbani hakuna atakayeona unaipenda familia maana hutatoka nayo kwa watu wakakuona na kukupa sifa hiyo
Gosbertgoodluck said: Huyu jamaa anaipenda sana familia yake. Click to expand... Nadhani hakuna baba asiyeipenda familia yake ila hatuna resources za kufanya mambo ya kifahari. mtu huna unga nyumbani hakuna atakayeona unaipenda familia maana hutatoka nayo kwa watu wakakuona na kukupa sifa hiyo
kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,952 Reaction score 939 Nov 29, 2012 #9 View attachment 72955 Luther Obama, unashangaa nini?