Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

38 yrs unanyoa nywele za juu na chini kwa baba yako.
Unagegeda mabinti bila Aibu

Kada sijui wa ssem.

Acha ujinga chama hakihitaji wazembe kalime hata mbogamboga

Ooh Baba amekuwa na MATUSI nani kakuambia kuwa ukiwa Kambi ile unakosa Matusi? Pingapinga Fc kama wamemsajili tegemeeni Matusi si unaona hata ma top wao.

Mama apewe talaka. Utamtimizia mahitaji yake yote?
 
Life expectancy. AFRICA.
54-65yrs.
(38-54=-16)
Haya pambania kombe la lako na la Mama yako kabla hujakata moto baada ya miaka16.
Ni hapo mbele 2036 sio mbali kiivyo
Kufa maskini mpk hapo kumekuganda kwa 70%.
 
Kijana shtuka usingizini aisee,, mambo ya siasa unaleta kwenye mji wa mtu we tafuta mji wako alafu ikiwezekana anzisha chama chako kishirikiane na icho chama unachokishobokea alafu tuone kama kuna mtu atakusumbua
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu level ya degree. Yapata miezi 6 sasa siongeai kabisa na baba yangu kisa tu alinifukuza nyumbani nilipokuwa nakaa (nadhani nilishaeleza hapo nyumba kwenye nyuzi zangu) labda nikumbushie kidogo, mimi ni kada mtiifu wa Chama cha Mapinduzi, nilijaribu kumshawishi baba ajiunge na chama na apigie kura Chama cha Mapinduzi kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa.

Hiyo ilikuja kuibua mtafaruku mkubwa sana kati yangu mimi na baba yangu na kupelekea kunitaka niondoke nyumbani kama najiusisha na mambo ya siasa, tulipelekana mpaka kwenye ofisi ya kata maana sikustahili kuondoka nyumbani wakati pale ni kwetu na mimi ni mtoto wake.

Sasa baada ya mzee kutokunielewa mimi, mama yangu alinielewa vizuri kabisa na alikuwa ni mhudhuriaji mkubwa sana wa vikao vya chama, juzi mama alinipigia simu usiku akaniambia baba amebadilika amekuwa ni mtu wa matusi na kelele nyingi akirudi, anamuambia mama kwenye nyumba yake hataki kabisa watu waojiusisha na mambo ya siasa hususani mambo ya Chama cha Mapinduzi, mama alisema Jumapili walikuwa na kikao cha chama cha shina, aliporudi nyumbani jioni mzee alimtukana matusi mazito sana na kumtaka aondoke mara moja pale nyumbani kama anajishughulisha na mambo ya CCM.

Nimemshauri mama kama vipi aende mahakamani adai talaka ili wagawane mali ili mama atafute sehemu yake ya kukaa na mimi niwe karibu nae maana kwa sasa baba alishanifukuza nyumbani sina pa kukaa nakaa kwa rafiki yangu tu huku Buguruni,

Baba yangu amekuwa na tabia za ajabu sana yani huyu mzee.

Naombeni ushauri wenu wakuu, ili nimshauri mama ikiwezekana kwenye mali apate sehemu kubwa ya mali maana huyu baba ni mnyanyasaji sana.

pia kama kuna mtu ana kazi naomba anisaidie ndugu zangu nimesomea marketing degree, maana nahishi maisha magumu mnooo na baba alinifukuza nyumbani kisa mimi mpenzi wa Chama cha Mapinduzi.
Kweli wewe ni kada wa chama cha wapumbavu,38yrz unajisifu unakaa hom
 
Baba yako hana tabia ya ajabu,wewe ndo unatabia za ajabu,umri huo bado upo nyumbani badala ya kuwa na familia yako,

Mkuu hiyo degree uliipateje hivi vyuo navyo vijitathimini kwa kutoa mali na kupeleka jalalani badala ya kuwapa watu. approximately miaka 40 unaleta uzi wa hovyo namna hii?? Tena unataka kuwaachanisha wazazi wako sababu ya ujinga na upuuzi !!??
 
Back
Top Bottom