Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Kuna watu hawaelewagi nyuzi za huyu jamaa, someni kwa IQ kubwa mtamuelewa nyuzi zake
Mnaokaa kumponda mnakosea, huyu hayuko hivo asilimia zote kuna ujumbe anaufikisha ila mnashindwa kuung'amua

Ujumbe wa kuponda chi chi em
 
Kwa akili zako mtoa mada unafaa kuwa kada wa ccm,maana huwa nahisi makada wengi wa ccm akili zao hazipo sawa,na leo nimepata uthibitisho mwingine
 
Pole sana nina hasira kwanza siamini huu ujumbe na aina ya wasifu wako havifanani, degree tena marketing acha kabisa watu wa marketing unatuabisha hatuwagi mandezi kabisa cha pili umri 38, ilibidi uwe Lusaka, Lilongwe, Gado Msumbiji, Kahama, Chunya, Mererani, Mwenge, Kijito, K/koo, Tandika, Nyakato. Pole sana maswahibu ya mama, hizo hasira za baba kuhusu ccm kuna sababu
 
Mzee yuko "sahihi" kabisa.
Kama unaweza kumshauri "mama yako" adai talaka ili wagawane Mali, basi baba yako yuko "hatarini"
 
Una laana ya asili! Inawezekana umeirithi toka upande wa mama, ya kwako ikawahi kukomaa kutokana na matatizo mtambuka
 
Miaka 38 unalilia kukaa na baba na mama pumbavu kabisa

Halafu from your history inaonesha hata familia huna at your age ... aseeh una tatizo sio bure jenga nyumba yako weka mambo yako ya chama kama baba yako hataki ni sawa maana hapo ni kwake
 
Mwambie slow slow akutafutie pa kukaa maana wewe ni kada mtiifu, hivi ccm huwa mna akili kweli, yaani mfia chama hata pa kukaa huna?

Kijana mdogo kama wewe akili zimezorota kwa sababu ya kuwa mwanaccm
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Huyu atakuwa ni wa mikoani aliyehamia Dar 😂😂😂😂

NB: Vipi nawe ulipata bahati ya kulisikia tetemeko la ardhi huko kwako? Huku Mfaranyaki sikusikia chochote hiyo 8:20pm nilikuwa nakula mahindi ya kuchoma 😜

Mwambie slow slow akutafutie pa kukaa maana wewe ni kada mtiifu, hivi ccm huwa mna akili kweli, yani mfia chama hata pa kukaa huna???

Kijana mdogo kama wewe akili zimezorota kwa sababu ya kuwa mwanaccm
 
nikiwa na 23 nilikuwa na desktop computer nikaiuza nikamwambia maza me nachimba sijawah kurud home hadi leo we 38 unataka ukae kwenu ili ugundue nini ? Mkuu babako ni genius amegundua mnashabikia ccm and you guys broke as fuwk. Your father can shelter your mother lakin sio wewe hapo bado miaka miwili uwe 40 mkuu utaolewa aisee kuwa makini. Na nakuasa kama uko daslama kaa mbali na mapedeshee wanapenda watu kama nyinyi.
 
Watu wa ccm mna mambo ya ajabu, unamkuwadia maza kwa ccm ? we jamaa achana na ugomvi wa maza na dingi,
 
38 years unataka uendelee kukaa kwa mzee ule ugali wa shikamoo nenda kapambane


Kwa hiyo age HUTAKIWI kukaa kwa mzee ukiwa unawategemea
 
wanajukwaa endeleeni kumtukana huyu jamaa bado dozi haijaisha ana umri mkubwa sana na dozi yake ni yakikubwa mpaka abadilike.... nipo chini ya miguu yenu wakubwa zangu huyu mzee dozi inahalibika endeleeni kumtukana sana mpaka apone.
 
Back
Top Bottom