Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
- #41
sawa ngoja nifanye hivyo.Ebu kamuulize kwanza huyo mchumba wako afu ndo urudi ku logoff
Nalog off
sawa ngoja nifanye hivyo.Ebu kamuulize kwanza huyo mchumba wako afu ndo urudi ku logoff
Mi naona bora ni log off
Naona itakuwa poa ila kama hujui itakuwaje unweza kulog off tu.
Mke wa baba yangu nilikuwa nikimpenda kabla sijazaliwa na ninaendelea kumpenda mpaka kufa kwangu.Hapo umemaliza, au ili waende sawa na yeye ampende mke wa baba yake.
kha! mbona hii ndio familia inayoshikilia tuzo ya familia bora kuliko zote nchini Tanzania.Yaani baba na mwana wote hamnazo, hiyo familia sijui ikoje
nawe hadithia yako.Hadithi zingine bwana, sijui ni kwa ajili ya kunogesha jukwaa?
atapelekaje posa kwa mchumba wangu?mwambie apeleke posa tu ili mama ajue....!!!!
mimi bado namlavu huyu msichana.Wewe huyo mwachie dingi ili uepushe shari
nikilog off nitafanya makosa,kwasababu mdingi ata log in halafu itakuwa noma.Beta log off dude!
kkkkkkk mtoto wa nje kwa baba au kwa mama? 100% ndoani.Wewe si uoe tu mzee atachapa ukiwa safarini kwani ubaya uko wapi ukoo si uleule au wewe ni mtoto wa nje?
nafarijika kusikia hilo,cheka unenepe.hahaaaaa thread yako umenichekesha lol!!!!!!!!!
umeona eh!JF raha sana jamani
sasa hata kuimbisha hajaanza wakati mimi najimegea kisela kitambo tu kwanini nimwachie? atafute mwengine tu.Si umwachie utafute mwingine,labda yeye hawaoni na mama kajichokea
kha! baba yangu mimi si ndio boss wako? ohoo angalia asije kukufukuza kazi kwa madharau yako,hakuna upuuzi hapo mimi ni mkubwa na ni dume la mbegu kama yeye na ndio maana ameniambia.Mmmh hyo mzee wako na ww wote mapunguan, anaona unalngana nae mpk akushrkshe upuuz wake.
yeye itabidi abwage manyanga aniachie mimi kifaa changu.Halafu we Washawasha huishi vituko, haya twambie huyo mchumba wenu mtamuoa wewe na baba yako?
mtu ambaye hampendi mama yake atakuwa na mapungufu ya akili kichwani mwake.We Baba V unamaanisha ampende mama yake ambaye ndie mke wa baba yake Washawasha mzee wa ku log in
anza kunionesha mfano nami nitakuiga.dawa ya moto ni moto na we mchumbie mchumba ake au mke wake ili ngoma iwe droo.
sasa tukisubiri mahakama ya kadhi si watamkuta ana watoto teyari.kuna mchumba na chumba....huyo ni chumba maalim swala lako lisubiri mahakama ya kadhi mkadhi na ukishidwa kwa kadhi mfawidhi.
Habari zenu waungwana natumai muwazima na mnaendelea na mapumziko ya usiku wa leo.
Ni hivi nina mchumba ambaye tumekubaliana nikaiarifu familia yangu kuhusu yeye leo hii baada ya sala ya Ijumaa,lakini,hamadi! ile kufika nyumbani ili niwape taarifa hizi,baba kaniita chemba na kuanza yeye kwa kuniambia afadhali nilivyokwenda kuna kitu alikuwa anataka kuniambia na akasema anampenda sana mchumba wangu huyu(jina kapuni) ila nisimwambie mama.
Basi nilishikwa na kigugumizi na mimi wala sikumwambia kuwa nimekwenda pale kwake ili nimfahamishe hilo,kwa jinsi alivyokuwa ananionesha ni dhahiri naye amempenda sana huyu mchumba wangu na anataka kutuma posa.
Je,nimwambie ya kwamba huyo msichana anayemtamani ndio mchumba wangu mtarajiwa au nifanyeje?
Nalog off
atapelekaje posa kwa mchumba wangu?
Nalog off
mpaka naileta hii mada hapa kwa kweli inaning'ata sana aisee.ndiyo "we mbona ulinyonya maziwa ya mke wake be fair joke" ila kiukweli kuliko kuleta huyo mchumba baba avizie achape ni bora kumwachia mzigo wote aisee inauma