NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 10, 2012 #1 Wapi baba yake the great jamani?
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 10, 2012 Thread starter #2 Simsikii kwenye hii msiba, nasikia mama yake tu. vipi amesusa?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Apr 10, 2012 #3 alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga.
alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga.
N Neuton I. Member Joined Apr 10, 2012 Posts 16 Reaction score 3 Apr 10, 2012 #4 Hata mimi nashangaa, labda mzee wa watu amejiweka kando kwa kuwa mwanae alishautangazia uma kwamba ham-mind baba'ke.
Hata mimi nashangaa, labda mzee wa watu amejiweka kando kwa kuwa mwanae alishautangazia uma kwamba ham-mind baba'ke.
Sumba-Wanga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 5,353 Reaction score 1,234 Apr 10, 2012 #5 Kweli kabisa. Tusubiri picha za huko leaders.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Apr 10, 2012 #6 atakuwepo, yule mzee ni mtu sana pengine kama mwanaye, alikuwa nategemea kuja bongo jana, baba yule siyo mbishi kabisa, R.I.P Kanumba.
atakuwepo, yule mzee ni mtu sana pengine kama mwanaye, alikuwa nategemea kuja bongo jana, baba yule siyo mbishi kabisa, R.I.P Kanumba.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Apr 10, 2012 #7 Daudi mchambuzi said: alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga. Click to expand... Mamake KANUMBA alikataa asipelekwe shy becouse hakuna nafasi ya kuuweka ule umati.So dingi akaona isiwe shida,kafungulia mbuzi wake huyo.......kaenda machungani.
Daudi mchambuzi said: alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga. Click to expand... Mamake KANUMBA alikataa asipelekwe shy becouse hakuna nafasi ya kuuweka ule umati.So dingi akaona isiwe shida,kafungulia mbuzi wake huyo.......kaenda machungani.
P Pure Mathematics Senior Member Joined Mar 8, 2012 Posts 174 Reaction score 52 Apr 10, 2012 #8 Okada said: Kweli kabisa. Tusubiri picha za huko leaders. Click to expand... nenda jukwaa la picha
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 10, 2012 Thread starter #9 Bora hawakwenda shy hapo Leaders tu hapatoshi kabisa
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Apr 10, 2012 #10 Keshawasili mujini, mtamuona akijumuika kwenye mazishi
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 10, 2012 Thread starter #11 MadameX said: Keshawasili mujini, mtamuona akijumuika kwenye mazishi Click to expand... Mh kachelewa! Pole zake na safari
MadameX said: Keshawasili mujini, mtamuona akijumuika kwenye mazishi Click to expand... Mh kachelewa! Pole zake na safari
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,626 Apr 10, 2012 #12 ni kama nimesikia yupo msibani. Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 10, 2012 Thread starter #13 mzurimie said: ni kama nimesikia yupo msibani. Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?[/QUO Sijasikia akitajwa kwenye protocol wala popote. ndiyo sababu iliyonipelekea kuuliza mzurumie Click to expand...
mzurimie said: ni kama nimesikia yupo msibani. Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?[/QUO Sijasikia akitajwa kwenye protocol wala popote. ndiyo sababu iliyonipelekea kuuliza mzurumie Click to expand...
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,531 Reaction score 2,490 Apr 10, 2012 #14 Wamemtenga kiana...
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Apr 10, 2012 #15 shibuda ndo kamuwakilisha
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 10, 2012 Thread starter #16 Angel Msoffe said: shibuda ndo kamuwakilisha Click to expand... Mh huyu naye kajinyakulia tu umaarufu! Nimemuona akijitambulisha mwenyewe lol!
Angel Msoffe said: shibuda ndo kamuwakilisha Click to expand... Mh huyu naye kajinyakulia tu umaarufu! Nimemuona akijitambulisha mwenyewe lol!
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,125 Apr 10, 2012 #17 Angel Msoffe said: shibuda ndo kamuwakilisha Click to expand... Shibuda ni wa Ukoo wa Kanumba ?
iron2012 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 501 Reaction score 212 Apr 10, 2012 #18 watu wengine wanfikiri ni jukwaa la siasa sasa Shibuda hapa kama nani?
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,209 Apr 10, 2012 #19 sawabho said: Shibuda ni wa Ukoo wa Kanumba ? Click to expand... siasa jaman?
Mandown JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 1,665 Reaction score 507 Apr 10, 2012 #20 NATA said: Simsikii kwenye hii msiba, nasikia mama yake tu. vipi amesusa? Click to expand... du kweli humu JF wata wataka kujua kila kitu.....! DU
NATA said: Simsikii kwenye hii msiba, nasikia mama yake tu. vipi amesusa? Click to expand... du kweli humu JF wata wataka kujua kila kitu.....! DU