Baba wewe ndio mwoga

Baba wewe ndio mwoga

ezeckielj

New Member
Joined
May 25, 2011
Posts
2
Reaction score
1
Jamaa mmoja alikuwa akibishana na mkewe chumbani, mabishano yalikuwa hivi;
baba: Mke wangu wewe ni mwoga sana.
mama: hapana, wewe mume wangu ndio mwoga kuliko mimi.
baba: wewe ndo mwoga, mbona mbishi?
mama: wewe ndo mbishi, mwoga kama nini!
Mwafaka haukupatikana, wakatoka chumbani, kufika sebuleni, wakakuta watoto wanaangalia Tv, baba akaanza,
baba: eti nyie watoto, kati ya mimi na mama yenu nani mwoga!
watoto wote kimya, mmoja mdogo wa mwisho akajibu,
mtoto: baba wewe ndo mwoga.
baba: kwanini umesema hivyo!
mtoto: baba, we mama akisafiri unamwambiaga dada(msichana wa kazi) mkalale wote eti unaogopa kulala mwenyewe, wakati wewe ukisafiri mama analala mwenyewe!
baba ikabidi aangalie chini, mama kawa mwekundu. kilichofatia hapo, unakijua!!!😛ound:
 
Yule mkubwa naye akadakia, "Nyie hamjui, mama ndo mwoga zaidi...juzi baba alipoenda Dar, anko Musa alikuja alafu mama akawa anajificha kwenye suruali yake! alikuwa ananyonya kidole chake cha chini!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom