kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Tumfanyaje huyo baba wa ubatizo naye hakukujua kama jamaa atakuja kuwa gaidi!
Until proven na mahakama kuwa ni gaidi. Otherwise si ww au yoyote mwenye mamlaka ya kuita gaidi wkt mahakama haijadhibitisha.Tumfanyaje huyo baba wa ubatizo naye hakukujua kama jamaa atakuja kuwa gaidi!
Mtu mweusi ana shida sana. Sijui hata ulisoma wapi wewe? Kuchallenge ideas,.machapisho na mitazamo ya watu siyo kosa mkuu. Watu wanachambua bible na msaafu itakuwa nyerere?
Afu lisu siyo mbowe ulishasikia mbowe alisema nyerere
So?
Kwahiyo hakwenda uhuru Park kuapishwa akaenda Sr Peters kwenye kipa imara?
Huna uwezo huoNchi itapusuka siku walimfunga mwamba tutajilipua nao huku kwenye ikulu zao bora tukose wote
Sidhani kama hayo yanasaidia sana kwenye kesi yake, cha muhimu msaidieni kumtafutia mawakili mahiri wa kumtetea. Kesi ni ushahidi na si maneno maneno ya kwenye mitandao.Mzee Mbowe ana mchango mkubwa kwenye uhuru wa nchi hii kuliko mbughila wengi waliokua vijijini kwao huko wakipigwa na njaa
Unajitahidi kumpigania kwenye mitandao lakini sidhani kama inasaidia. Mahakamani ni tofauti kabisa na maneno mnayotoa mitandaoni mtasitukia mwamba anakula mvua hivihivi nyinyi endeleeni kuleta mzaha tu.Leo wanakuja watu hata hawajui ulikotokea uhuru wa nchi hii wanamkamata Mbowe !
Kila ubaya Utalipwa .
Hapo ndipo tatizo linapoanzia.Sasa kama alijua ana heshima hiyo kwann akodi walevi kudhuru watu
Farao asiyemtambua Yusufu anadanganywa sana,miaka 30 iliyopita alikuwa wapi na Mbowe alikuwa wapi?
You shut up until your brain heals properlyLeo ndo mnakumbuka ni baba yake wa ubatizo aiseee wakati Lissu anamsimanga na kumkashfu Nyerere mbona huyo mtoto wa ubatizo hakumkanya wala kusaidia kukanusha matope aliyopakwa baba yake wa ubatizo
Mwalimu alimtema Oska Kambona sembuse Mbowe alikuwa nani.
You shut up until your brain heals properly