Baba wa Ubatizo Kafanya Kweli!!!

mhhh mkuu hapo kwenye RED ndege gani huyo..??????... hehehe! let me do my homework !!

The famous Ugandan Crane.........ni ndege waaminifu mpaka kufa na ikitokea moja wapo akafa basi ataishi maisha ya upweke mpka ampate mjane mwenzie na si vinginevyo............Mungu katupatia mifano hai hapa hapa duniani!
 
nyie mna kiherehere tu, najua mimba umempa wewe
kwani shida iko wapi, wewe kaa kando kama vile huna time tena na hiyo familia,
mtoto atazaliwa na maisha yataendelea,
kwani hujui kuwa kila familia ina mtoto wa nje ya ndoa,
hata wewe unao.
WAnawake wazinzi utawajua tu kwa kuhalalisha uchafu, kama kwenye family yako umefanya hivyo basi siyo wote usitafute support... Naichukia sana hiyo tabia eti mtu anaibuka tu from no where na kuanza kusema ati hamna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa au mwanamme asiye na kimada, kisaa yeye ndio mwenye tabia hiyo. Naamini kabisa wapo wanawake waaminifu kabisa 100% kwa ndoa zao, na wapo wanaume pia wa namna hiyo.
 
yep waaminifu kama mimi!
 
Nani kawadanganya wanyama hawana mambo haya??ni baadhi tu ndio hawana but most of them wana pride zao na wake,chunguza maisha ya simba na ndege ,tena kuna aina ya ndege wanakuwa patners for life,akifa mmoja ,mwingine anakaa bila kugonga hadi anakufaa

Hao wanyama mabwegez
 
huyo mwanamke imekula kwake maana watoto huwa wanaumbua wakishakuwa,, sura itafanana na ya huyo baba wa ubatizo ndipo hapo kitakapoeleweka ajiandae kwenda kuwa bi mdogo kwa huyo hawara yake,she will pay the price......ha ha ha
 
kama ningekuwa mimi baada ya kugundua kwamba mke au refiki yangu kanihujumu, nitamuuliza. wakati namuuliza nitampima pschologia yake. baada ya pale kama ni kweli, nitampa adhabu ya kisaikologia ambayo naamini akiipata hata rudia tena.
 
Kwa sis tulioishia shule ya msingi Igangidung'u unayafanyaje yote hayo kwenye wino mzito...................tusadiane jamani!
 
Wasubiri mtoto azaliwe kwanza wachunguze huenda ni wa mume halali, ikiwa sio basi jamaa aangukie kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom