Baba wa taifa kupata Mabusu mubashara, hili limekaaje?

Baba wa taifa kupata Mabusu mubashara, hili limekaaje?

hapo ukiangalia facial expression. ..ni busu la babu na wajukuu
 
6640bea5ea66dbf32f5c7c18ff184f4c.jpg
Usifanye mchezo na busu tna la mtoto wa kike no matter ni mjukuu au mwana,cheki babu alivyotulia na tabasamu moja mubashara mnooo hahahahahahahaaaa R.I.P Mwalimu nchi yako sasa hivi imekua kama lori tu na dereva wetu mmmhhh ila tutafika tu salama.
 
Huyo mmoja nimtoto wake na huyo mwingine ni mtoto wake kifamilia(nduguye)
 
Kwani kumbusu mtu kuna maana gani?
Ukipata jibu sahihi la awali hilo utajua imekaaje
 
Sioni kama kuna tatizo hapo. Tusijenge dhana potofu juu ya picha hiyo.
 
Kuwa na wajukuu ni hazina safi mbele za Bwana.siku ukipata utaiona raha kama alivyo kuwa nayo baba yetu na wajukuu hawa
 
Ht isingekuwa wajukuu au watoto kwani ni kosa? Mtu na uhuru wake jmn. Mengine muwe mnaacha tu
 
Labda hao ni black Amrricans', Mie sishangalii hilo eti. NB: Busu ni ishara ya upendo cyo lazima uwe wa kimahaba.
 
binadamu yoyote yule haitakiwi asahau mila na desturi. na ukizingatia yule mzee aliko toka alikuwa ni chifu wa kabila lake. hilo swala lingekuwa ni kawaida kwa tanzania inamaana huyo jamaa angesipo hoji na hata kama angehoji inamaana uongozi wa jf ungefuta hiyo post.
Embu acheni kuwa primitive nyie mila! Mila! Mila! Hata kukeketa nayo ni mila,kurithi mke ni mila, upuuzi mtupu kushikiria mil na tamaduni zilizo achwa na wakati uliopo sasa. Mila!!! Ujinga huu,
 
Back
Top Bottom