Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Heaven on Earth ghafla kapachuti kako kadondokee hapo kati kati yao nafikiri utalia kikwenu
cc Tized, Mndengereko, Ntuzu na utafiti
huyo ndo king of the kings wa kweli,namuheshimu sana huyo jamaakabisa unawezakujikuta unasalimia shikamoo bila kupenda mkuu utafiti
ila kwa twiga kwa kweli cha moto huwa anakiona sema ninachowapenda huwa wana ushirikiano wakishamuweka mtu kati tu basi hatoki tena hapo,bora mmoja avunjike hata mguu ila mnyama lazima aliweMkuu Mndengereko ni balaa huyu mnyama aise na ukiangalia documentary zake dah utapenda anavyowinda
Mbona ana watoto wengi hivo
ila kwa twiga kwa kweli cha moto huwa anakiona sema ninachowapenda huwa wana ushirikiano wakishamuweka mtu kati tu basi hatoki tena hapo,bora mmoja avunjike hata mguu ila mnyama lazima aliwe
yah ila huwa anafanyiwa timing sana,hawa wanyama wengine Mungu angewapa akili ya kushirikiana kama simba wanavyofanya basi simba wangekuwa wanapata tabu sanaNa Mbogo pia wakikutana na ambaye ni ngangari kuna uwezekano wa simba kuuwawa akiingia kwenye pembe zake
yah ila huwa anafanyiwa timing sana,hawa wanyama wengine Mungu angewapa akili ya kushirikiana kama simba wanavyofanya basi simba wangekuwa wanapata tabu sana
hahaha yaani mazuzu kweli alafu baada ya muda yanasahu yanasogea karibu na alipo simbaWale wana miili mikubwa na wako wengi ila utashangaa simbawawili au watatu wanasambaratisha kundi na kutoka na mmoja wao na kuishiwa kuliwa wakiwa wanaangalia hivi
hahaha yaani mazuzu kweli alafu baada ya muda yanasahu yanasogea karibu na alipo simba
sisi waafrika utajiri wetu ni watoto
Kwani sisi tuna wangapi?Mbona ana watoto wengi hivo
Sogea karibu yake utaiona ubavuni. Hushangai watoto wanakula vizuri, wanasoma mpaka wanajua huyu analiwa yule haliwi, wife anazidi kunawiri, unafikiri bila wallet ingekuwaje.Baba gani huyo hana hata wallet?
Wakuu, ni macho yangu au ni kweli! Simba anagegedwa na Chui.......???
Sogea karibu yake utaiona ubavuni. Hushangai watoto wanakula vizuri, wanasoma mpaka wanajua huyu analiwa yule haliwi, wife anazidi kunawiri, unafikiri bila wallet ingekuwaje.
It is a common misconception that male lions don't hunt. Whilst females do the majority of the hunting for the pride, males will join in on occasion, particularly when hunting large prey such as buffalo. Also, young males who have left their natal pride but not yet taken over one of their own have no choice but to hunt for themselves
kweli mkuu inawezekana why not??Wakuu, ni macho yangu au ni kweli! Simba anagegedwa na Chui.......???