Baba tajiri na Mwanae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba tajiri na Mwanae

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MgonjwaUkimwi, Oct 3, 2010.

 1. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Baba: Mwanangu, baba yako ni tajiri wa fedha, akili na busara. Kila utakacho kwangu nitakupa
  Mwana: Nitafurahi kama utajenga daraja kutoka Dar hadi visiwa vya Madaska
  Baba: Itakuwa ngumu maana nguzo za daraja katikati ya bahari ya India zitatokeza upande wa pili wa dunia na kusababisha daraja lizame, kwasababu upande wa pili kuna bahari ya Antlantic
  Mwana: Sawa, basi nitafurahi kama utanipa uwezo wa kujuwa kiundani jinsi akili ya mwanamke inavyofanya kazi
  Baba: Hivi ulisema ungependa daraja liwe na lane ngapi vile?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  MAWAZO YA JA KAYA HAYA:llama:
   
 3. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Heheheh, umejuaje? Umepatia sana mkuu.
   
Loading...