Nilichokisoma na nilichokikuta ni kama havifanani.
Jamaa kasubiri wife kwenye winter mpaka ameganda dakika tano alizoambiwa haziishi.
Nilichokisoma na nilichokikuta ni kama havifanani.
Nilichokisoma na nilichokikuta ni kama havifanani.
Ndivyo walivyo hawa wenzetu -wanawake - atakuambia niko tayari nakuja sasa hivi, na unamwamini unaacha gari kwenye silence. Mpaka taa nyekundu ya mafuta inapowaka, hajatokeza! Haki ya nani hawa viumbe ni wa ajabu!
Zuzu huyo kwani kalazimishwa kusubiri nje? Si angerudi ndani? Wanaume wengine majanga
kaambiwa in 5min