Baba Panya na Mkia wa Mwanawe

Baba Panya na Mkia wa Mwanawe

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Jinsi siasa za ki-CCM zilivyo ni rahisi tukalinganisha na yanayotokea serikalini na kisa hiki:

Panya wamejitahidi sana kumkwepa paka kwa kukimbilia shimoni kila wanapoona na kuhisi harufu ya paka karibu yao. Leo, mambo yamebadilika. Paka katokea ghafla. Kufumba na kufumbua panya wote wamekimbilia shimoni. Bahati mbaya mtoto wa panya ameingia shimoni wa mwisho na kausahau mkia wake nje. Paka kauona mkia katika mdomo wa shimo. Katoa sauti ya mguno huku akisema naona mkia hapa. Panya wote shimoni wamemsikia paka huko nje. Panya wamegundua hatari inawasubiria huko nje.

Baba panya kafura kwa hasira, anafoka, " Nani mwenye mkia humu!? Panya wote mabibi na mabwana wamenyamaza kimya. Baba panya anapoinuka kwenye kiti ili ambaini mwenye mkia. Anabaini naye anao mkia; tena wa kwake ni mkubwa harafu mrefu. Kuona hivyo, baba panya anarejea kuketi kitini pake kimya kimya!

Lo! Wote kumbe wana mikia!!!

CCM hakika ni chama cha mizigo, magamba, mafisadi, wala rushwa, wang'oa kucha, warusha mabomu makanisani na mikutanoni. Je! Wewe umeona wamwaga tindikali wakikamatwa?....au umeona warusha mabomu wakikamatwa?....au watekaji na wang'oa kucha bila ganzi wakikamatwa?
 
hahhahahaha hii story nmesoma huku nalia kwa kucheka...lol..!!
 
Chama Chakavu la ukoo wa Panya limechoka nakuzeeka sana!!
Hata ufahamu wao ni wakitia mashaka sana!
Mwenye Mungu Mfalme wa mbingu na nchi atupaye uzima na ufahamu tupe nguvu na mamlaka ya kuundoa huu ukoo wa panya!!
 
^^
Panya fundi wa kujichimba shimo, akichimba pa kuingilia hatashindwa pa kutokea.
^^
 
Jinsi siasa za ki-CCM zilivyo ni rahisi tukalinganisha na yanayotokea serikalini na kisa hiki:

Baba panya anapoinuka kwenye kiti ili ambaini mwenye mkia. Anabaini naye anao mkia; tena wa kwake ni mkubwa harafu mrefu. Kuona hivyo, baba panya anarejea kuketi kitini pake kimya kimya!

Lo! Wote kumbe wana mikia!!!

Hili nalo neno!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Jinsi siasa za ki-CCM zilivyo ni rahisi tukalinganisha na yanayotokea serikalini na kisa hiki:

Panya wamejitahidi sana kumkwepa paka kwa kukimbilia shimoni kila wanapoona na kuhisi harufu ya paka karibu yao. Leo, mambo yamebadilika. Paka katokea ghafla. Kufumba na kufumbua panya wote wamekimbilia shimoni. Bahati mbaya mtoto wa panya ameingia shimoni wa mwisho na kausahau mkia wake nje. Paka kauona mkia katika mdomo wa shimo. Katoa sauti ya mguno huku akisema naona mkia hapa. Panya wote shimoni wamemsikia paka huko nje. Panya wamegundua hatari inawasubiria huko nje.

Baba panya kafura kwa hasira, anafoka, " Nani mwenye mkia humu!? Panya wote mabibi na mabwana wamenyamaza kimya. Baba panya anapoinuka kwenye kiti ili ambaini mwenye mkia. Anabaini naye anao mkia; tena wa kwake ni mkubwa harafu mrefu. Kuona hivyo, baba panya anarejea kuketi kitini pake kimya kimya!

Lo! Wote kumbe wana mikia!!!

CCM hakika ni chama cha mizigo, magamba, mafisadi, wala rushwa, wang'oa kucha, warusha mabomu makanisani na mikutanoni. Je! Wewe umeona wamwaga tindikali wakikamatwa?....au umeona warusha mabomu wakikamatwa?....au watekaji na wang'oa kucha bila ganzi wakikamatwa?

kitendawili hiki kinavutia na kina maana kwa WAPUMBAVU, WANAFIKI,WAONGO,WENYE WIVU,WASHAMBA,LIMBUKENI,WADINI NA WALIOPIGWA BAO 2010. naona wengine bado hamjanawa hadi leo!! hata mnachokiongea hakieleweki!! poleni sana.....na 2015 hiyooooooo inakuja watu wachukue tena point 3.
 
Baada ya chadema kuanza kuumbuana jinsi mlivyokuwa mnanunuliwa na hao mliowaita mafisadi wa cc,mkono na rostam,sasa kinachosubiriwa ni jinsi mtakavyoumbuana juu ya njama zenu za kuwamwagia watu tindikali,na matukio ya kinyama mkidhani mnaiumiza ccm ili ninyi mpate huruma ya umma,mmetajana mlivyomuua chacha wange,na bado mama wa kifaranga kakaa kimya,tekenyaneni tena muone mnavyoumbuana,watanzania walishajua janja yenu,na mliowatoa kucha mkakimbilia kusingizia ccm na usalama wa taifa,mtaumbuka ,hovyo kabisa,eti mwenyekiti anajibu bila aibu jinsi anavyopokea hela za makada wa ccm,halafu jinga moja linajifanya kujijua chadema,jifunzeni demokrasia kwa nccr siyo domo tu.
 
kitendawili hiki kinavutia na kina maana kwa WAPUMBAVU, WANAFIKI,WAONGO,WENYE WIVU,WASHAMBA,LIMBUKENI,WADINI NA WALIOPIGWA BAO 2010. naona wengine bado hamjanawa hadi leo!! hata mnachokiongea hakieleweki!! poleni sana.....na 2015 hiyooooooo inakuja watu wachukue tena point 3.

Na we we ulipata mgao wa EPA nini....
 
Back
Top Bottom