[emoji87] [emoji87] [emoji87] kwamba Obama akauze mgahawa sio feki feki? Au mwanae sio feki feki ? Atafanya kama hobby na si ajira kwa maana halisi ya uhitaji wa ajira kama mimi au wewe
baba mkwe huyoooo!
Rais wa Marekani Barack Obama aliamua kumtembelea mwanawe Sasha Obama eneo analofanya kazi,na kumsaidia kwenye majukumu yake.
Sasha amekuwa akihudumu kwenye mgahawa mmoja wa kuuza samaki