Haswaaaa!Teh tehe tehe, alifikiri amepasua toto la mtu kumbe kapusiliwa yeye !!! Anyway hiyo inatoa funzo kubwa sana kuwa tusishabikie mambo bila kujua.
Kama nina chombo anachomiliki Rage nakutoa kafara mapema kabisa ukawasalimie wote waliotangulia.mtoto nuksi huyo...lakini mombasa kitu cha kawaida, baba hakutakiwa kuzimia
Kama nina chombo anachomiliki Rage nakutoa kafara mapema kabisa ukawasalimie wote waliotangulia.
Du nouma
wewe mtoto firauni kwelimtoto nuksi huyo...lakini mombasa kitu cha kawaida, baba hakutakiwa kuzimia
Hilo ni dume lakini la kubeba mbegu za vidume vya ukweli.Hapo hakuna dume la mbegu!
hehehe! Gud point! Hmm! Lakini simodivine na thread two thngz diffnt.
lol! Just lurkingwacha mie niassume haumo.