Baba nifundishe kuukabili uhalisia.. Nisiukimbie ukweli

ndugu umeandika kitu kizuri kweli ila kwanini bado unaweka uoga uoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wenye akili pia wamekuona una akili gani!! Hahahaha yaani junior hapa nimemwambia kuna GT anasema eti pro alikunywa ile sample ili kama ina madhara afe yeye kwanza, kacheka kaniomba niimfanyie mpango ajiunge jf kwan na yeye pia atakuwa ni GT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who are you!??
masalimie mama yako
 
Demokrasia ni pamoja na kukubali kukosolewa...
ww ni mfupi kwa akili hilo limethibitika.....
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu..!!
sehemu yyte nitakoyokuta umepotosha nitakutandika......
tek that to your wallet...stpd man

Imebidi nicheke tu,unatumia nguvu kubwa sana kuexpose Incompetence yako ktk kujenga hoja!
 
Leo angalau umeongea la maana, kumbe ukiacha mambo ya uchawi una akili 😂.
Huyu jiwe kajaa ego sana ndicho kinachomsumbua, anajiona smart dunia nzima, kwa hiyo hasikilizi chochote anaamini anachoamini ndicho sahihi na hakuna wa kumwambia chochote. Hiyo ndiyo shida yake tu
 
Yaani chupa mbili tu, tuuu! Nashindwa kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kwenye maboksi si ya Wamadagascar waishio nchini ikiwa imetolewa na ndugu zao walioko Madagascar? Au sikumwelewa vizuri Kabudi. Yetu ni chupa mbili tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo angalau umeongea la maana, kumbe ukiacha mambo ya uchawi una akili
.... JF raha sana kuna mmoja hapo kasema naandika pumba tupu
Anyway....!!! Thanks dude for a compliment

Jr
 
Hii ndio shida ya ugeni wenu hapa JF! Mnachosha sana na hizi comments zenu za kipuuzi na ujinga mwingi!
Usimlaumu sana.. Ukiweza mhurumie kisha muweke kwenye ignore list... He is a wasted sperm

Jr
 
Misukule kama hii ndio inakupa bidii ya kuposti ujinga.....
nishakujua ww ni wa kupuuza ......
" When wise man are silent ignorance multiplier"
When wise man are silent..
wise MAN ARE.. shikamoo kilugha.. Kama huwezi lugha za watu usiforce kuweza ama kujitia mjuzi

Jr
 
Wananchi wao ni wananchi wetu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…