Baba nifundishe kuukabili uhalisia.. Nisiukimbie ukweli

Hv mkuu huwa unafikiria kabla ya kuandika!!?
hiyo sample imekuja kwa ajili ya research kabla ya kwenda kwenye public consumption.....
unasema tumepigwa!???wp
hizo boksi 13 hata mm kapuku ningeweza kununua zote kwa bei wanazouza huko Madagascar..
ushaambiwa hizo ni zawadi....
ww ni mwepesi kinoma nimekutoa kwenye levo za u GT
ww ni mpiga kelele tu....
kila kinacho-trend umo na ujuajit batili.
Naomba nikusahihishe kwa upole na kwa hoja makini maana naona hukauki na mimi..
Naaamini umefuatilia hili sakata lakini ukakosa umakini
Tuliambiwa kuwa Madagascar wamegundua dawa ya Corona na tumeona rais wao akiinywa.. Kuthibitisha kuwa sasa ni dawa rasmi
Sisi tukatuma ndege kwenda kuleta dawa na mheshimiwa wetu prof akainywa Kuthibitisha kuwa ni dawa halisi
Habari za zawadi na sample zimekuja kutokea huku Tanzania
Je dawa zote ndio hupitia utaratibu huo?
Je kuna risk kiasi gani kiongozi mkubwa anapotumia kitu kilichopo kwenye majaribio?
Kuna mengi huyajui nakushauri kaa kimya.. Huwa sikurupuki hata siku moja kwenye post zangu.. Sijui kama unafahamu gharama za kurusha kile chombo kwenda na kurudi Madagascar...

Jr
 
Serikali na bunge lina watu wasiomakini kwa kuwa si lazima kufuata katiba au sheria hata mifumo ya utawala bora, bora tuwe mahakamani tunakoweza Kata rufaa kila mara
 
Hivi kuna watu wanafikiri watapata hata funda moja la nyungu ya madagascar, wewe piga nyungu yako ya mkaratusi, mwarobaini, limao, tangawizi mambo yaende......hiyo ya madagascar itakuwa na watu wake maalum, ila mwisho wa siku waliopangiwa kufa watakufa na waliopangiwa kuishi wataishi hata unywe sufuria zima la nyungu...
 
Professor Kabudi kanywaje dawa isiyothibitishwa,?
Poleni watanzania... Poleni sana wananchi wanyonge wa mwili imara wa roho na thabiti wa ufahamu
Dawa ya Corona iliyofuatwa haraka haraka kwa ndege maalum ya mkuu wa nchi haiwezi kutumika hadi baada ya utafiti utakaochukua takriban siku 180.. Hii sio dawa ya maabara ni dawa ya asili.. Tuwe watulivu tutajulishana aina ya kipimo kitakachotumika kuthibitishwa ubora wake na kama haina side effects.. Hapa TBS na TMDA (TFDA) pengine hazirahusika...

Prof Kabudi anatuchanganya.. Tena sana.. Kwanini sasa asingeagiza kiasi kidogo kwanza kwa ajili ya sampling na kuthibitishwa ndio tutume lidege letu kuleta mzigo wa kutosha?

Nadhani muda utasema lakini naona kuna jambo si la kawaida sana hapa.. Kuna mkanganyiko mkubwa kwenye hili.. Kimamlaka na maamuzi.. Kuna hofu ya wazi pengine hiyo dawa ina madhara makubwa kiafya ama la haina uwezo wa kutibu Corona

Ni muhimu pia kujikumbusha alichosema Waziri wa afya huko inakotoka dawa.. Yeye alisema ile dawa ni kwa ajili ya kinga na si kwa ajili ya tiba kwa waliokwisha ambukizwa.. Ila ndio hivyo tena tumeshaulipia mzigo ambao hatutautumia hadi siku 180 zipite.

Baba nifundishe kuukabili uhalisia nisiukimbie ukweli.. Wahenga walituasa: kwa mwoga kulienda kicheko kwa shujaa kulienda kilio.

Hofu ni adui number moja kwenye kuukimbia ukweli.. Lakini hofu ni silaha number moja kwenye kuukabili uhalisia... Hofu na mashaka huleta mbinu na tahadhari. Ujasiri huleta majigambo na kutojali

Tusitoane hofu katikati ya hatari kubwa.. Tusifiche uhalisia kwa kufutika uvundo kibindoni.. Tuambiane ukweli.. Tutaokoa maisha mengi

Tukiwatoa watu hofu huku sisi tumefichama tunatengeneza tatizo kubwa zaidi.. Wananchi wanakuwa sio makini tena na tahadhari inakuwa ndogo.

Tumepigwa tena kwenye dawa isiyothibitishwa na ambayo hatutaweza kuitumia kwa miezi sita

Mungu wabariki waja wako.. Na watesi wa wana wako... Wabariki pia

Jr
Baada ya miezi sita itakuwa bado ku-expire? Au tuseme haichujuki kamwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nikusahihishe kwa upole na kwa hoja makini maana naona hukauki na mimi..
Naaamini umefuatilia hili sakata lakini ukakosa umakini
Tuliambiwa kuwa Madagascar wamegundua dawa ya Corona na tumeona rais wao akiinywa.. Kuthibitisha kuwa sasa ni dawa rasmi
Sisi tukatuma ndege kwenda kuleta dawa na mheshimiwa wetu prof akainywa Kuthibitisha kuwa ni dawa halisi
Habari za zawadi na sample zimekuja kutokea huku Tanzania
Je dawa zote ndio hupitia utaratibu huo?
Je kuna risk kiasi gani kiongozi mkubwa anapotumia kitu kilichopo kwenye majaribio?
Kuna mengi huyajui nakushauri kaa kimya.. Huwa sikurupuki hata siku moja kwenye post zangu.. Sijui kama unafahamu gharama za kurusha kile chombo kwenda na kurudi Madagascar...

Jr
Kazi yako ww ni kupotosha watu dhidi ya hatua ambazo serekali inachukua
ukibandika andiko lolote la kupotosha hapo utanikuta nitakujibu. Hii staili yako ya kuponda kwa lengo la kutafuta attention punguza bro hujui kitu ww!!!
Ww ni mkurupukaji hakuna asiyekujua humu unajipenyeza kwenye kila habari inayo trend lazima ubandike upupu
Tiba mbadala zote mchakato wake ni tofauti..serekali haiwezi kuingia kichwa kichwa inachukua hizo tiba mbadala kwa ajili ya public consumption ya wananchi wake kabla ya ku test
Proff Kabudi kaonyesha uzalendo wa hali ya juu kitendo cha yy kunywa dawa kabla ya mtz yy ameonyesha imani kwenye dawa.....
pili hata kama dawa itakuwa na madhara basi ianze kumdhuru yy kabla ya mtanzania yyte yule
kuna misukule mingi isiyojielewa unaikamata humu na upupu wako,.......
eti unazungumza gharama ya kurusha ndege!!!?
kuna gharama ipi dhidi ya uhai wa watz.....
nyie ndio vimbelembele mnapiga kelele raisi afanyi kazi!!??
jitihada zinafanyika za wazi unapiga kelele eti gharama ya ndege!!?punguza GILIBA punguza upotoshaji wenye akili wameona wameelewa.
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Usikute imeletewa standby kwa watu wenye majina yao, vigogo na viongozi tu...

Akipatwa na dalili faster anapatiwa...

Cc: mahondaw
 
wewe ni mwehu.
Kazi yako ww ni kupotosha watu dhidi ya hatua ambazo serekali inachukua
ukibandika andiko lolote la kupotosha hapo utanikuta nitakujibu. Hii staili yako ya kuponda kwa lengo la kutafuta attention punguza bro hujui kitu ww!!!
Ww ni mkurupukaji hakuna asiyekujua humu unajipenyeza kwenye kila habari inayo trend lazima ubandike upupu
Tiba mbadala zote mchakato wake ni tofauti..serekali haiwezi kuingia kichwa kichwa inachukua hizo tiba mbadala kwa ajili ya public consumption ya wananchi wake kabla ya ku test
Proff Kabudi kaonyesha uzalendo wa hali ya juu kitendo cha yy kunywa dawa kabla ya mtz yy ameonyesha imani kwenye dawa.....
pili hata kama dawa itakuwa na madhara basi ianze kumdhuru yy kabla ya mtanzania yyte yule
kuna misukule mingi isiyojielewa unaikamata humu na upupu wako,.......
eti unazungumza gharama ya kurusha ndege!!!?
kuna gharama ipi dhidi ya uhai wa watz.....
nyie ndio vimbelembele mnapiga kelele raisi afanyi kazi!!??
jitihada zinafanyika za wazi unapiga kelele eti gharama ya ndege!!?punguza GILIBA punguza upotoshaji wenye akili wameona wameelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi anasema dawa hizo ni kwa ajili ya Utafiti, na sio za kugawanywa kwa Watanzania.

'' Dawa zimekuja chupa mbili kwa ajili ya utafiti na kuna fomula ambazo zimetolewa kwa wataalamu wetu'', amesema Profesa Kabudi na kuongeza kuwa Vilevile kuna box kwa ajili ya raia wa Madagascar ambao wamepewa zawadi kutoka kwa ndugu zao huko Madagascar.
🤗🤗🤗
 
Kazi yako ww ni kupotosha watu dhidi ya hatua ambazo serekali inachukua
ukibandika andiko lolote la kupotosha hapo utanikuta nitakujibu. Hii staili yako ya kuponda kwa lengo la kutafuta attention punguza bro hujui kitu ww!!!
Ww ni mkurupukaji hakuna asiyekujua humu unajipenyeza kwenye kila habari inayo trend lazima ubandike upupu
Tiba mbadala zote mchakato wake ni tofauti..serekali haiwezi kuingia kichwa kichwa inachukua hizo tiba mbadala kwa ajili ya public consumption ya wananchi wake kabla ya ku test
Proff Kabudi kaonyesha uzalendo wa hali ya juu kitendo cha yy kunywa dawa kabla ya mtz yy ameonyesha imani kwenye dawa.....
pili hata kama dawa itakuwa na madhara basi ianze kumdhuru yy kabla ya mtanzania yyte yule
kuna misukule mingi isiyojielewa unaikamata humu na upupu wako,.......
eti unazungumza gharama ya kurusha ndege!!!?
kuna gharama ipi dhidi ya uhai wa watz.....
nyie ndio vimbelembele mnapiga kelele raisi afanyi kazi!!??
jitihada zinafanyika za wazi unapiga kelele eti gharama ya ndege!!?punguza GILIBA punguza upotoshaji wenye akili wameona wameelewa.

Nadhani hujamuelewa mtoa mada, yeye hana shida na michakato ya hiyo tiba mbadala! Shida ipo kwenye kauli zinazotolewa na viongozi, msome vyema kazungumzia kauli wakati wanatoka hapa, wakiwa Madagascar walivyorudi wanaita press na kuongea vitu vingine kabisa!

Kama walikuwa wanafuata sample ya maabara, walipaswa kusema tunachofuata ni sample toka awali!

Siyo unawaaminisha watu unafuata dawa, unapiga picha unakunywa dawa (Madagascar) na unaongea umefuata dawa tena kununua ukishafika nyumbani unasema nilikwenda kupokea zawadi ya dawa na tunaiweka kama sample! Upuuzi
 
You are
Ignored
Rejected
Dispersed
Condemned

Asipokuelewa hapa sijui ataelewa wapi tena... Lakini huyu ni kati ya wale great sinkers.......

Jr
 
You are
Ignored
Rejected
Dispersed
Condemned

Jr
Demokrasia ni pamoja na kukubali kukosolewa...
ww ni mfupi kwa akili hilo limethibitika.....
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu..!!
sehemu yyte nitakoyokuta umepotosha nitakutandika......
tek that to your wallet...stpd man
 
Take it or leave it...

Jr
 
Nadhani hujamuelewa mtoa mada, yeye hana shida na michakato ya hiyo tiba mbadala! Shida ipo kwenye kauli zinazotolewa na viongozi, msome vyema kazungumzia kauli wakati wanatoka hapa, wakiwa Madagascar walivyorudi wanaita press na kuongea vitu vingine kabisa!

Kama walikuwa wanafuata sample ya maabara, walipaswa kusema tunachofuata ni sample toka awali!

Siyo unawaaminisha watu unafuata dawa, unapiga picha unakunywa dawa (Madagascar) na unaongea umefuata dawa tena kununua ukishafika nyumbani unasema nilikwenda kupokea zawadi ya dawa na tunaiweka kama sample! Upuuzi
You are out of the picture....
 
Back
Top Bottom