Baba Ngina...28 September 2012




Mkuu Mtambuzi heri ya siku yako hii nhema ya kuzaliwa
mwenyezi Mungu awe nawe katika maisha yako akupe heri na baraka zake na akupe ya umande wa mbinguni kama Jacob na akuzidishie maisha yawe ya heri na baraka
Heri ya kuzaliwa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday my lovely Daddy Mtambuzi a.k.a ........ Mpe hi Gisela hapo Tupo hapa Bar lol!
 
Last edited by a moderator:
amani, furaha na upendo vikawe sehemu ya maisha yako daima..happy birthday mkuu mtambuzi.
 
Happy Birthday Mtambuzi! Ombi,msaidie Bi Mkubwa Wa Gauni La Bluu Kutambua Akitakacho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…