Duuuh hii sasa Kali..Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Nimelelewa na mamangu hadi namaliza masomo ya chuo kikuu ila sijawahi kumchukia babangu maana sijui nn kilimfanya akimbie na kwenda kufia mbali. Na mwaka huu naenda kujengea kaburi lake na huwa sipendi kumzungumzia sana maana mama anaujua ukweli na hawezi kuusema.Yes. ninasemaga hum mara kibao..majorty ya wanaume humu 80%hv wanakandiaga sana single moms..kumbe mmelelewq na mzaz m1..lakini kutwa kuwaponda wamama masingle parent hahhaa !
mie nashukuru sijawah mchukia baba wala nn...nampendq sana baba!waishi miaka mingi
Hizo ni exceptions zipo. Hata mama kuna waliowatupa watoto wao baada ya kuwazaa. Ila kwa wale ambao hawakutupwa hawawezi kuacha kumpenda mama eti kwa kiwa kuna mama mwingine alimtupa mtoto.Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ni sababu ya utoto tu....hicho anachokupa mama usikute kapewa na mzee...kwa akili za utu uzima unaona hamna maana....na pia kwa nini akupie jikoni, si atoe tu kwa uwazi hata mbele ya baba....Nafikiri wanawake huwa wana-brain wash watoto....Ni kama msosi mezani tu, kinachokupa shibe ni ugali ila kinachodetermine kufurahia chakula ni mboga au viambata vingine vidogo vidogo.
Kwenye majukumu ya familia (zilizo nyingi) ni baba ndo awajibike, baba utalipa ADA za wanao kisha mama atawaita jikoni (mafichoni) na kuwashikisha kiasi kidogo cha ziada kwa siri (kwa sharti la kutomwambia mzee)..... hiki kiasi cha ziada ndo hubeba furaha ya mtoto kuliko ada ambayo ni JUKUMU lako.
Usile Mbegu.
Asante. Nimelelewa na mamangu hadi namaliza masomo ya chuo kikuu ila sijawahi kumchukia babangu maana sijui nn kilimfanya akimbie na kwenda kufia mbali. Na mwaka huu naenda kujengea kaburi lake na huwa sipendi kumzungumzia sana maana mama anaujua ukweli na hawezi kuusema.
Nawapenda wazazi wangu maana bila wao wawili nisingekuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika bect huwa sipendi kabisa kuwatenga wazazi wangu najua kwenye ndoa kila mtu anamapungufu ila mama najua atajitetea kwa kumkandia baba hivyo huwa sitaki kabisa kumpa nafasi mama azungumzie nini kiliwatenganisha.Pole sana best..wala usitake kujua nn kiliwasibu..kamjengee baba
Akili zako ulisahau tumboni kwenye maelezo yangu wapi umesoma kwamba muwachukie baba zenu au wapi ninesema kwamba mababa wote ni wabayaHizo ni exceptions zipo. Hata mama kuna waliowatupa watoto wao baada ya kuwazaa. Ila kwa wale ambao hawakutupwa hawawezi kuacha kumpenda mama eti kwa kiwa kuna mama mwingine alimtupa mtoto.
Sisi wenye baba zetu usitulazimishe tuwachukie kwa ajili yako wewe uliyepigwa chini na baba yako kwa ajili ya uzembe au matatizo ya mama yako.
NAKUPENDA BABA
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio baba yako. We mpende tu mama yako, lakini ujue mama yako si mwaminifu...Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Neantwa Ngamangyi! Lakana ne itondo lo, liishi kyindo likerera nndi!
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee! “hii sasa kali” kwa kweli!Na alishakuja kuniomba msamaha kwa kunikataa anadai alikua anaogopa kuchekwa na wenzie kwa kuzaa na mama kisa mama alikua fukara sana kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooti kumbe na kunu wanngamanji wakaaafo...eshimishioyiHahaaa nanlakana nae mbee..
Weefo wandu wenji waare kilekwalekwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Namfura kyatokyi ili naloliya wandu wa kyei na kunu mwiifoNeantwa Ngamangyi! Lakana ne itondo lo, liishi kyindo likerera nndi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutakiwi kumhukumu mzazi, mwenye kumhukumu ni Mungu peke yake, kumbuka kuwa mzazi ni Mungu wako wa pili, na vile vile unapokua unalalamikalalamika unakua unaupandiikiza huo ubaya aliokufanyia, kumbuka kua hivyo vitu hua vinatembea kizazi hadi kizazi, visipokukuta wewe ukawafanyia ubaya huo wanao basi wanao watawafanyia ubaya huo wajukuu zako, kwa hiyo sasa msamehe na usiendelee kuvikumbuka hivyo vitu.Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena.Mimi kitendo tu cha mzee wangu kumpanda mother nikazaliwa kinatosha kumshukuru ayo mambo mengine ni matokeo tu.Inawezekana siku hiyo mzee anataka vyombo mother alikua anazingua au mother ndo alikua tayar mzee anazingua ila yote kwa yote niwashukuru tu kwakutimiza majukumu yao yakunifyatua,mambo ya malezi hapa kila mmoja ana historia yake kwasababu dunia ina mengi.