Baba Nakupenda

Acha tu mi niwe chizi. MAANA SIMPENDI BABA YANGU
 
Na alishakuja kuniomba msamaha kwa kunikataa anadai alikua anaogopa kuchekwa na wenzie kwa kuzaa na mama kisa mama alikua fukara sana kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuomba usilipize ubaya kwa ubaya,Hata kwenye vitabu vitakatifu maandiko yanasema tunatakiwa kusamehe kama unaamini ni baba yako hiyo kauli haina afya machoni pa Bwana,Katika zile amri kumi za Mungu mojawapo inasema Waheshim baba na mama ili upate kuishi milele.
 
Baba yangu alitangulia mbele za haki nikiwa Mdogo mama nae miaka kazaa ilopita kamfuata baba stowasahau wazazi wangu kamwe napenda kuwaambia yakua mwanenu siku hizi nimezoea kujitegemea japo nawa miss
 
Kwa
Nadhani ulikuwa enzi za ujana wake kumbuka alikimbia kesi na alikuwa hajajiaandaa hakuna kitu kigumu kwa kijana girl friend wake kuambiwa ni mjamzito lazima utatikisika tu hata kama ulimpenda vipi
 
Duh, samahani kwa kuuliza, baba yako alisema hivyo kweli?
Yaani alikosa kabisa sababu nyingine ya kujitetea?
Jamaa hana baba hapo Malafyale,zee linashindwa hata kujitetea!zee limekosa hekima na busara! Mkazie mkuu aende akachukue msaada kwa rafiki zake.
 
Kinyume cha kutokupenda kitu ni kukichukia.
 

utakuwa umetelekeza watoto somewhere, unaongea unahisi ni kitu cha kawaida
 
Baba ata atembee kwa miguu kila cku, hafikii tabu aipatayo mama kubeba mtoto miez sita kuzaa na kumnyonyesha..
Ukija kwenye kulea hasa pale ambapo hujitambui, .
Mda wote mama upo attention kumuangalia mtoto asile uchafu, asishike vtu vya hatari kama moto.

Mababa huwa mnaongea tu but mkipata chance ya kulea mtoto kpnd anazaliwa hadi anakuja kujitambua hamtoweza.
Kwa mda wa zaid ya miaka mitatu unakuwa mda wote unamchunga mtoto ata hupat mda wa kpumzika .
Ata mfanyaje wababa..NANI KAMA MAMA ITABAKI PALEPALE..
ndo mana waislam wanaamin pepo ipo kwa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huwa mnahisi tunalishwa sumu!???


Binafsi sijawahi kujadili chochote na mama kumuhusu baba
Ila mpaka kesho sina namna mtu anaweza kunishawishi kuhusu kumpenda baba.

Note: watoto huwa wanajifunza kupitia wanayoyaona kuliko wanayoyasikia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa km Baba yako amekutelekeza na hajakulea utajifunza vp kwa kumuona!?? Nnachokueleza mm,ndo ukweli wenyewe. Hasira zenu ni matokeo ya chuki iliyopandwa kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa km Baba yako amekutelekeza na hajakulea utajifunza vp kwa kumuona!?? Nnachokueleza mm,ndo ukweli wenyewe. Hasira zenu ni matokeo ya chuki iliyopandwa kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma vizuri ukichoandika unaandika kwa hisia unashindwa kuhusianisha sentensi zako.
Sasa hizo chuki zinapandwa na nani?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. ninasemaga hum mara kibao..majorty ya wanaume humu 80%hv wanakandiaga sana single moms..kumbe mmelelewq na mzaz m1..lakini kutwa kuwaponda wamama masingle parent hahhaa !
mie nashukuru sijawah mchukia baba wala nn...nampendq sana baba!waishi miaka mingi
 
Hii sasa kali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizuri ukichoandika unaandika kwa hisia unashindwa kuhusianisha sentensi zako.
Sasa hizo chuki zinapandwa na nani?



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilichoandika ndicho nilichokusudia hakuna nilipokosea. Hizo chuki unalishwa na walezi wako. Iwe mama,mjomba nk. Athari za wazazi kutengana watoto huwa wanabaki upande mmoja.

Bahati mbaya huwa wakibaki upande wa mama wengi ndo hupatwa na tatizo km hilo la kwako na wengine. Me ngoja nikuambie,me mwenyewe nimelelewa na mama.

Baba aliachana na mama me nikiwa na miaka 4 tu na mdogo wangu akiwa ananyonya. Baba alikuwa mkulima mzuri tu,na alikuwa anapata mazao ya kutosha kabisaa lkn alikuwa mlevi kupindukia. Na alikuwa anampiga mama hujawahi kuona duniani.

Kuna wakati alipigwa mpaka akavunjwa mkono,ndo hapo babu akasema inatosha akamchukua mwanaye ambaye ni mama yetu na sisi tukafuatana na mama. Tangu wakati huo,hatukuwahi kumuona Baba hata akija tu kutusalimia achilia mbali kutusaidia.

Lkn kwenye maisha yetu kwa wakati wote,hakuna siku hata moja tuliyowahi kuelezwa zuri hata moja la Baba. Mara zote tulikuwa tukielezwa ubaya na ukatili wa Baba. Hii kitu me ilikuwa inanishangaza sana,nikawa najiuliza huyu mzee alikuwa binadamu wa aina gani asiye na jema hata moja...!?? Mpaka nimemaliza primary bila kumuona baba. Baada ya kusoma o-level na kwa shida sana,sikupata matokeo mazuri nikaamua kuwa mjasiriamali.

Mwaka 1998.nikaamua kuoa,nikalazimika kumtafuta Baba. Nilimtafuta mpaka nikampata sehemu moja inaitwa bukoli wilaya ya geita akiwa nzwiii...yaani alikuwa amelewa chakariii. Nilibaki naye mpaka asbh pombe zilipoisha na tukaongea vizuri sana na nikasafiri naye kuja kwenye makazi yangu ya wakati huo.

Ni story ndefu lkn kwa kifupi pamoja na mapungufu ya Baba lkn mambo mengi alisingiziwa. Na kisa cha Baba kuwa mlevi lilikuwa ni tatizo la kisaikolojia baada ya kubomolewa nyumba yake nzuri sana wakati huo baada ya yeye kukataa kujenga kwa kutumia mkopo wa serikali.

Serikali ikaamua kumkomoa na kwa kuivunja nyumba yake. Baba alikuwa anahama na familia yake pamoja na duka lake kuja kuishi kwenye ile nyumba anafika nyumba yote imezolewa. Ndo maana nakuambia hizo huwa ni sumu tunazolishwa na bila kutafakari tunajenga chuki isiyofutika mioyoni mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…