Kuna mzee mmoja wa 80 yrs alijiua kwa kumhisi mkewe was 50 yes kufanya mapenzi na mtoto wao. Hichi kisa kililetwa humu
Kwa ujinga wa kisarawe mie sishangai.
Huko kuna upuuzi wa kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio mabinti na ndugu zao bali waoaji ndiyo wenye shida.Ndio maana kuna zero nyingi sana huko.
Labda ndio sababu
Usilaumu wana kisarawe bali hao waoaji wahamiaji waongo.Kwa ujinga wa kisarawe mie sishangai.
Huko kuna upuuzi wa kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala Mimi sipo na Bashite nimeleta habari kama nilivyoipataHii habari ni ya kutunga ili kurudisha nyuma juhudi za mkuu wa wilaya Kisarawe. Kamwe hawa wafuasi wa Bashite hawata fanikiwa kwani jamii imeshaona Kisarawe siyo mahala penye mambo ya hovyo ki hivyo. Big up DC wa Kisarawe tunaona mabadiliko ya maendeleo katika mwendo kasi ndio maana kuna wanaokupiga vita. Daima mbele Kisarawe juu juu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo haliusiani humu, kwani kamzaa yeye.As long as hawali mmoja hakuna shida hapo. Mbona mengi kaoa mwanae na hakuna nongwa
Dunia hii mama
Dunia hii mama
Yako ni yako na yake ni yake
Ngoja tufanye uchunguzi
Asante kwa ilmu hii adhimuKama hao wahusika ni waislam bhasi uislam unasema hiviiiii...
(23) An-Nisaa
Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
(24) An-Nisaa
NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.
MyComment: Hakuna uharamu hapo juu yao kwa mujibu aayaat hizi na ndizo guidelines za kuoana
Wamevunja sheria/kanuni ipi ambayo ina athar kwa elim?
Huyo jamaa na baba yake wamewazaa hao wanaowabandua?Hilo haliusiani humu, kwani kamzaa yeye.