Sio maisha ya kiswahili mbona unatukana waafrika mkuu? hayo ni malezi ya kiafrika? especially Tz?Ukikutana na wabongo waliolelewa maisha ya kiswahili lazima hii iwe ajabu
Ukikutana na wenye malezi yao,wale wakuvaa bikini mbele ya mtoto atakushangaa
sana akikuona unashangaa hizo picha,tufupishe story hebu 'hapo shida ipo kwetu waswahili'
waacheni wazungu waishi watakavyo,wewe ukijiona hii ngumu kumeza Pita kimya kimya..
i call it Pure Love
Hee heee.... Acha masihara...
MhhMtoto wa kike anastahili Mapenzi ya Baba, binafsi hata massage ntamfanyia.
Usipompa mapenzi unamchagulia Dunia mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nini iyo mkuu?
Tusi liko wapi?Sio maisha ya kiswahili mbona unatukana waafrika mkuu? hayo ni malezi ya kiafrika? especially Tz?
Dunia imeisha
Usumaku wa baba na mtoto?Mbasha naye ajitazame.
Kitoto cha kike na baba mazoea mwisho 12 yrs.baada ya inatakiwa iwe barrier rasmi,maana kuna usumaku.
Sent using Jamii Forums mobile app