Baba na mwana

Status
Not open for further replies.

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
1,909
Points
2,000

Moo Click

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
1,909 2,000
Ukikutana na wabongo waliolelewa maisha ya kiswahili lazima hii iwe ajabu

Ukikutana na wenye malezi yao,wale wakuvaa bikini mbele ya mtoto atakushangaa

sana akikuona unashangaa hizo picha,tufupishe story hebu 'hapo shida ipo kwetu waswahili'

waacheni wazungu waishi watakavyo,wewe ukijiona hii ngumu kumeza Pita kimya kimya..

i call it Pure Love
Sio maisha ya kiswahili mbona unatukana waafrika mkuu? hayo ni malezi ya kiafrika? especially Tz?
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,382,372
Members 526,359
Posts 33,825,884
Top