Baba na mwana ...! Kweli wakati si milele

Lugha ya picha tamu sana

Majinga jinga hayawezi kuelewa kiurahisi hata yakielekezwa
 
Huyu ndugu yetu huwa ananifurahisha kwenye nguo anazovaa tu,

Hivi kuna mtu yeyote huwa anamdanganya amependeza[emoji28][emoji28][emoji28]??
Na ana mng'ao fulani usoni siku hizi. Ni nywele zinatiwa rangi nyeusi au kuna analopaka usoni?
 
Huyo mtoto ndiye anaempangia baba chakufanya, kama hataki kuondoka Bandari ya salama msala tunao
 
[emoji848][emoji848][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
 
Mbona kama mada ni ya baba na watoto wadogo?
Umri huu niitwe na baba kwenda kwenye harusi? Sijui matembezi?

Tushatoka huko Mshana
 
Mbona kama mada ni ya baba na watoto wadogo?
Umri huu niitwe na baba kwenda kwenye harusi? Sijui matembezi?

Tushatoka huko Mshana
Kuna wakati baba yuko busy anaweza kukuomba ukamwakilishe kwa niaba lakini sio birthday party
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…