baba na homework ya mwanae

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,331
47,077
Basi kuna dogo anaitwa kifuta kila siku akipewa homework shule huwa anampa mdingi wake amfanyie, basi siku moja mdingi hakurudi nyumbani na dogo akaamua afanye mwenyewe, alipompa mwalimu asahihishe, mwalimu alishangaa akamuuliza yule dogo
mwalimu: We kifuta kila siku huwa unafanya vibaya na unakosa zote kabisa, leo ni ajabu umepata zote, hebu sema ukweli au baba kakusaidia?
kifuta: hapana mwalimu , jana baba hakurudi nyumbani, kwa hiyo niliamua kufanya mwenyewe.
 
na huyu ndo yule baba ambaye ni wa mwisho darasani na sio wa kwanza
 
Dingi kilaza. Mtoto akimueleza atadai alikuwa anamkosesha makusudi ili akili yake i-charge.
 
na huyu ndo yule baba ambaye ni wa mwisho darasani na sio wa kwanza

daaah,kutakuwa na makosa tu mwalimu kafanya,maana madingi wooote huwa ni wa kwanza darasani,hata watoto wangu watajua hilo!
 
Back
Top Bottom