Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

Nawapa pole familia ya tundu lisu ,mungu awape ujasiri na subira kipindi hiki kigumu cha msiba wa mzee mughai .
 
Ninasikitika kuwatangazia ndugu zangu wa JamiiForums kuwa muda mfupi uliopita baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augostino Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina.

RIP baba wake kamanda wetu. . .
 
Natoa rambirambi zangu pia kwa ndugu jamaa na marafiki...Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amina.
 
Pole sana familia ya Augustino Mungwai Lissu.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jinan lake lihimidiwe
 
Mungu awape familia nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu!
R.I.P baba yetu!
 
Back
Top Bottom