Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,181
517
Ninasikitika kuwatangazia ndugu zangu wa JamiiForums kuwa muda mfupi uliopita baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai, Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai, Mateo Lissu Mughwai, Alute Simon Lissu Mughwai, Rose Lissu Mughwai, Muro Lissu Mughwai, Vincent Lissu Mughwai na Mjengi Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augostino Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina.
 
Mungu mwenye huruma na neema,ampokee ketika ufalme wake na ampe pumziko la milele mbinguni. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina la bwana libarikiwe. Amina.
 
May the man rest in peace. Amen.

Mungu mwenye huruma na neema,ampokee ketika ufalme wake na ampe pumziko la milele mbinguni. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina la bwana libarikiwe. Amina.
 
Bwana ametoa

Bwana ametwaa

Jina la Bwana lihimidiwe

Raha ya milele umpe eeh bwana na Mwanga wa milele umwangazie.....Apumzike kwa amani. Amina.

Pole sana kwa familia yote!
 
Pole sana Mhe. T. Lissu, Mungu wape nguvu ya kuhimili mapito haya.
Toka tawi la CCM nyumbani kwangu.
 
Back
Top Bottom