Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,539
- 688
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mfano mzur huo apo hapo juu [emoji115]
Hapo kuna dalili ya kuuziana mbuzi kwenye gunia!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mfano mzur huo apo hapo juu [emoji115]
Inawezekana, kwetu baba mweusi na mama mweupe, tupo 6 ni mmoja tu mweusi tena ni maji ya kunde....Inawezekanae ee!!!! baba yangu ni mweusi tiiiii mama mweupe peee katufyatua 9 moja tu ndio mweusi wengine wote weupe[emoji1][emoji1]
Yani peee haha haaa ila mdingi ni cheusi mangalaHa haaaa... Mweupe peee..
Kama jana na juzi, mtoto anafuata kwa babu. Brace yourself...Mtoto anatoka rangi gani?
Vipi baba akiwa mweupe mama mweusi mtoto atatokaje?
Wajuvi tafadhali..
Haya wale wenye theory zao waje hapa.. Wajibu hii puzzleMama maji ya kunde baba maji ya kunde ila ukoo ubabani kuna asili ya weupe peeeeeeeeeeee umamani kuna maji ya kunde na weusi sio tiiii ila cha ajbu tumezaliw weupe peeeeeeeeeee na maji ya kunde hakuna mweusi tiiiii
Maji ya kunde 🙂Black in white mnaitaga maji yanini vilee...
Asante nilisahau mamaaMaji ya kunde 🙂
Nipo fureshi Mzee babaUmekionaje?