Baba Mweusi mama Mweupe..Mtoto atakuwaje?

Baba Mweusi mama Mweupe..Mtoto atakuwaje?

demarcustaniquamarley1.jpg
hapa hapana" jamaa kaibiwa.
 
Mwalimu wako wa Genetics O Level akiona hili swali atajisikia vibaya sana
 
Tofauti za kibaiolojia zinaweza kubadilisha rangi husika mkuu kwa hiyo anaweza akatokea mweusi..mweupe..au hata maji ya kunde
 
Watu weupe wana damu kali sana, hivyo watoto mara nyingi huwa weupe!!
Inawezekanae ee!!!! baba yangu ni mweusi tiiiii mama mweupe peee katufyatua 9 moja tu ndio mweusi wengine wote weupe[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom