Baba mwenye umri mdogo duniani

hance mtanashati kuweka story yako sawa,Hii ilitokea takribani miaka 18 iliyopita(1998).Mwaka 2009(miaka 11 baadae) huyo Sean alikamatwa na kufungwa jela miezi saba kwa sababu za wizi.Emma Webster baadaye aliolewa na mwanaume mwingine.

Ilikuwa nimalize thread nianze kuitafuta hii issue, make nakumbuka kuiona miaka ya 90 mwishoni au 2000 mwanzoni, picha hii hii.

Asante mkuu
 
Ivi ww mtu mzima more than 40 unaandika ujinga hivii hatarii sana, kuna siku ulileta uzi, ukitushauri sisi wadogo zako tuwe wastaarabu ww vp?
Imepenya hiyoooo imooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hao watoto ndio hawa hapa, walilea mtoto wao, wakaoana na wana mtoto mwingine na bado wako pamoja.. sio vischana vya bongo, ajira anayo na bado vinatoa toa mimba hovyo.
 
Huku vijijini kwetu wamefika? au dunia ya weupe.
 
Hii issue siyo ya hivi karibuni, ilitokea miaka mingi iliyopita. If I am not mistaken it is more than 10 years ago
 
Kapigwa changa la uso huyo dogo,mimba siyo yake hata kidogo.
 
OTE="MKWEPA KODI, post: 17519333, member: 341224"]Huyo dada anakaonea hako kavulana[/QUOTE]
Kwa sheria zetu, huyo dada amembaka kijana mdogo. Mwanamume anayempa mimba msichana aliye chini ya umri wa miaka 18 hata kama wamekubaliana anashtakiwa kwa kosa la kubaka.
 
Kumbe wazungu wanabarehe mapema eee! Halafu kumbe wazungu wanaanza ngono mapema kiasi hicho! Mi nilidhani kwa umri huo huwa wanakua busy kunoa vipaji vyao kumbe ni kuruka na kukanyagana tu! Sheet....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…