wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Huo wivu sasa
iko, hivi jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, alafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6