Baba mwenye nyumba wangu kafanya mapenzi na msaidizi wangu wa ndani(House Girl)

Huo wivu sasa
iko, hivi jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, alafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6
 
Atakuwa kapiga na mke wako ndo anamsifia sio beki tatu tu.
 
Mimi sijaona tatizo lolote hapo; huyo beki 3 wako una mpango wa kumuoa wewe? Kuna shida gani kama amepata mwanaume? HAijalishi awe baba mwenye nyumba au mwanae au mtoto wako wewe au yeyote yule. Labda kama kuna mtu anaweza nieleza tatizo hasa la huyu baba mwenye nyumaba ni nini hapo? Ukweli mi sijaelewa kosa lake hasa ni nini?
 
Mda si mrefu atampakua mkeo afu atakupiga na tatu bariiiid

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Iko hivi, jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, alafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6
Ulikuwa unataka baba mwenye nyumba afanye na ww ety?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe nenda kagegede sasa
Utachagua yupi kati ya mkeo au hg

Mwezrahi
 
Iko hivi, jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, alafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6
ohoooooooo, inaonesha ni mume mwenzio kwa huyo back 3
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom