Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Nmeipenda hiiiNakumbuka mwaka 1983 baba mwenye nyumba alikuwa na masharti kwenye choo cha public ikafikia hatua mpaka akanunua kufuli mbona tuliteseka wapangaji nikaonda dawa ndogo nilienda kununua kufuli jingine na mimi nikaliweka juu ya jingine na nilikuwa shifti ya usiku kazini anaamka asubuhi ngoma mbili zimesimama kwenye komeo na kwa makusudi sikurudi mapema ghetto toka siku hiyo aliniomba msamaha huku ananiita baba tusifikie huko sisi sote ni ndugu