sio mwehu ni maisha magumu\
riziwani angemgawia kidogo tu, mama asingemkimbia
Mkuu picha ulizoweka ziko kistarehe zaidi... Kumbuka jamaa anajenga kichakani, hivi hicho kimwamvuli na nyoka, utitiri, mchwa, siafu, tandu nk. Vinaendana?Mbuzi Mzee,
Mkuu, hapo hamna cha wema wala nini... ni kukosa tu ingenuity kwa Waafrika walio wengi. Matatizo mengine tunajitakia tu... sasa hapo ufanisi wa kazi utapatikana baada ya masaa mangapi bila kumkurupusha mtoto usingizini na vumbi la tofali??!
Alishindwa nini kutengeneza walau kimwamvuli cha uongo na kweli kwa kusimika miti miwili au minne (maana na cement anaoyo) tu, kisha kutafuta kitenge kigumu na kutengeneza chaga ya kuning'inia (hammock)??!
![]()
![]()
![]()
mbuzi mzee,
mkuu, hapo hamna cha wema wala nini... Ni kukosa tu ingenuity kwa waafrika walio wengi. Matatizo mengine tunajitakia tu... Sasa hapo ufanisi wa kazi utapatikana baada ya masaa mangapi bila kumkurupusha mtoto usingizini na vumbi la tofali??!
Alishindwa nini kutengeneza walau kimwamvuli cha uongo na kweli kwa kusimika miti miwili au minne (maana na cement anaoyo) tu, kisha kutafuta kitenge kigumu na kutengeneza chaga ya kuning'inia (hammock)??!
![]()
![]()
![]()
well saidmkuu hiyo inawork pale ambapo mtt hana uhitaji wa kubebwa hivi unajua kwamba kunamuda mtoto anataka kubebwa tu askie harufu ya mtu??
Wafikiri wenye baby prams ambazo zinawabembeza watoto hawabebi watoto wao?? Kumbeba mtoto ni haki ya mtt.
View attachment 85347
Hapo vipi
Mbuzi Mzee,