suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,091
Mimi sioni shida mzazi mwenzio kuendelea kuwasiliana na ndugu wa mzazi mwenzake cuz wale ni ndugu wa watoto wake pia.
What if kitu kikimpata mama wa watoto wake, how will he know kama hawasiliani na ndugu zake? Sometimes vitu kama hivyo unapuuzia tu ili mradi he is not cheating with her.
Halafu, ukimpa sana airtime mwanaume esp kwa mambo madogo madogo atakuchukulia boya..Wewe muache apost hata watoto mia, view status and make sure ameona umeview ila do not ask.Keep yourself busy.Yeye mwenyewe atashangaa mbona huoneshi wivu na kujistukia.
Same otherwise akipost mwanamke wewe tulia tuliiii.I knw inauma ila tulia tu, Atajichokea tu.