Ana gubu kali sana huyu...Inaonesha una ka ubinafsi
Faida hakuna ni kuchoshana tu akili.View attachment 2585282
Mimi naomba niambiwe faida ya kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari ana watoto.
Msipokuwa makini mtafika mbinguni mkiwa hoi
Kwanini kuwazia mabaya au kuwa na hisia mbaya ?Mfano mkeo awe na ukaribu na ndugu wa mzazi mwenzake we unaona ni sawa?
Kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto ni Sawa na kununua nyumba yenye furniture ndani🤣🤣🤣View attachment 2585282
Mimi naomba niambiwe faida ya kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari ana watoto.
Msipokuwa makini mtafika mbinguni mkiwa hoi
unapenda kuwamba ngoziKivipi?
Unaoa mkomavu kifikraView attachment 2585282
Mimi naomba niambiwe faida ya kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari ana watoto.
Msipokuwa makini mtafika mbinguni mkiwa hoi
Ni ulimbukeni kwakweli....Ndo matatzo ya mwanamke mwenye mtoto kuolewa na mwanaume mwenye mtoto yan ni mattzo tu
Why km unajua umezaa usitafte mtu ambae hajazaa apo mtaishi ila hii yenu hii kla sku itakua ugomvi
Lkn pia wanaume huwa tunatabia za kipumbavu sana wakat mwingne ingelikua ni mwanamke ndo kamposti uyo mtoto ugomvi wake ungekua niwadunia ingne ila kwakua ni mwanaume kafanya ivyo bas anajiona yuko sawa na ni haki yake kufanya ivyo uwo ni ujinga
Tuacheni uanaume usio na maana
Kweli wewe ni mkuu wa mandondochaUnaoa mkomavu kifikra

Kiufupi tu, anachokifanya huyo jamaa yako si sawa. Haipendezi.Ajue mipaka yake ameshakua na familia nyingine tayari
madam,kama anakutimizia mahtaj yako home,tulia kama huwez just walk out,that simple!!!njoo hata kwangu niko singo na mwaminifu 100%Siyo mtoto wake ni mtoto wa shemeji yake kwa mzazi mwenzake