Amenuna hata hanisemeshiNdo matatzo ya mwanamke mwenye mtoto kuolewa na mwanaume mwenye mtoto yan ni mattzo tu
Why km unajua umezaa usitafte mtu ambae hajazaa apo mtaishi ila hii yenu hii kla sku itakua ugomvi
Lkn pia wanaume huwa tunatabia za kipumbavu sana wakat mwingne ingelikua ni mwanamke ndo kamposti uyo mtoto ugomvi wake ungekua niwadunia ingne ila kwakua ni mwanaume kafanya ivyo bas anajiona yuko sawa na ni haki yake kufanya ivyo uwo ni ujinga
Tuacheni uanaume usio na maana
Habari za mchana ndugu zangu.
Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi...
Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia ni mdogo wa mtoto wake aliyezaa na mwanamke mwingine, yani mtoto wa mdogo wa mzazi mwenzake
Ikabidi niulize kwanini ampost mbona mtoto wangu huwa hampost hata birthday hakumuwish?....
Watoto wake wawili nawafahamu na sina shida juu ya watoto wake shida ni kwanini mtoto wa shemeji yake?
Hivi ni sahihi kwa yeye kuendelea kuwa na ukaribu na ndugu wa mzazi mwenzake while tayari mimi naishi naye?
Kuna vitu vingine vinaonekana ni vidogo ila vinaimpact kubwa badaye.
Ni kazi sana kuwa na mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao.

Ni kaziqmwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao.

Umehakikisha hilo au umeamua tu kumwamini?Siyo mtoto wake ni mtoto wa shemeji yake kwa mzazi mwenzake
Ndio ubinafsi wenyewe huo unakusumbuaAjue mipaka yake ameshakua na familia nyingine tayari
Shangaa nawe bibie hata hajiongezi mwanaume ameweza kuzaa wawili huko atashindwa kuongeza wa tatu na nne?Umehakikisha hilo au umeamua tu kumwamini?
mtu hajawahi post mtoto wake aje apost mtoto wa shemeji yake na humjui, inaleta ukakasi.Shangaa nawe bibie hata hajiongezi mwanaume ameweza kuzaa wawili huko atashindwa kuongeza wa tatu na nne?
Mfano.Nyie watu mna shida:
1. Anaishi na wewe kwa hiyari yake, ina maana kakuchagua wewe.
2. Mna watoto, hiyo ina maana hao watoto wako unaowataka status ni wake pia, kwa hiyo ajafanya ubaguzi
Mbona ni kama unafuatiliya mambo ya kijinga?