Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
- Thread starter
-
- #41
mimi mwanaume hawezi nirudisha nyumbani kamwe,kwanza im idependent woman anaanzaje kunirudisha kwetu?kanikuta nilishatoka mikononi mwa wazazi eti anirudishe big no,hata alete winch,kurudi kwenye maada kwa nini wewe Mwana Kwetu hujasema mkeo kafanya nini mpaka umrudishe kwao?Inawezekana wewe ndo una makosa,kuwa muwazi
Pole sana,inaelekea hao wazazi wake wanafanana tabia na mtoto,toto limeshindikana kwao sasa wanataka kukusukumizia,hapo we ongea na wazazi wako kuhusu hivyo vitisho then kuwa mwanaume hata wao wako kwenye familia yao hakuna aliewavunjia mlango,weka msimamo kama hawataki amani peleka polisi na uyo wife fukuza kuna kitu kinampa kiburi,miaka tisa mkuu si bora ukae alone bhana kamtu kamoja kanakuzingua,mpeleke somewhere akaone wadada asifikiri yupo mwenyewe...Nilisubiri hata wanipigie kuniita badala yake wananitishia bila hata kujua tatizo lililotufikisha hapo? Hapo nalazimishwa kuishi na tatizo ambalo wao wangekuwa na hekima kidogo kama wazazi wangu solution ingekuwa simple. Wa kuonywa aonnywe na wakupewa pole apewe tuanze ukurasa mpya.
Labda ana jini mahaba,ungejaribu kumpeleka kwenye maombi,ina maana hakutamani kabisa,hata ukimchokoza hataki,BIBLIA inasema msinyimane,pole sana kwa kweliTunaishi as brother and sister na hataki yuko busy na kazi za ofisini hadi nyumbani, kachoka kila wakati. amepoteza sifa za kuwa mke na ana qualify kuwa mama ama dada yangu why should we stay in the same bedroom.
Kwenye RED nafikiri ingekuwa solution na hata mimi nilitaka ikiwa vipi niwe free ili wife awe huru ku exercise tabia zake hizo kwa uhuru bila kuingiliwa. Iweje wang'ang'anize kurudi kama vile nao hawamhitaji?
Kama umehamia kwake mlivyofunga ndoa,mkahitilafiana akakufukuza utang'ang'ania(sio lazima akurudishe kwa wazazi)mimi mwanaume hawezi nirudisha nyumbani kamwe,kwanza im idependent woman anaanzaje kunirudisha kwetu?kanikuta nilishatoka mikononi mwa wazazi eti anirudishe big no,hata alete winch,kurudi kwenye maada kwa nini wewe Mwana Kwetu hujasema mkeo kafanya nini mpaka umrudishe kwao?Inawezekana wewe ndo una makosa,kuwa muwazi
Kweli huo mpingo,pole sana...Tunaishi as brother and sister na hataki yuko busy na kazi za ofisini hadi nyumbani, kachoka kila wakati. amepoteza sifa za kuwa mke na ana qualify kuwa mama ama dada yangu why should we stay in the same bedroom.
Anakwambia wanaishi as brother and sister "NO GAME"teh teh teh,anaquality zote za dada au mama ake,maisha gani ayoInawezekana mwenye tatizo ni mkeo;
Lakini hata wewe baba unalo tatizo;
Mke amekusumbua muda mrefu ....pole
Kwao ni jirani sana na hapo kwako;
Kwanini usichukue ujasiri wa kumtuma kwanza
mshenga au mzee yeyote mtu mzima ili akaongee na
wazazi wa mkeo huku mkitaka kuonana na wazazi kwa ajili ya suluhu ya masuala
yenu ya ndoa.
Wazazi wa mke wanaona kwamba umewadharau kwa kuwa hawajawahi
kusikia malalamiko yanayohusu binti yao na kama yapo hawajapelekewa
rasmi.
Hata hivyo walikustahi sana ilitakiwa siku ile ile huyo mkeo arudishwe
kwako akiwa amesindikizwa na mtu ili muyasuluhishe.
Baba mkwe anaona umemtukana kumrudishia binti yake;
ili akalala kwake wakati ni mke wa mtu.
Hakyanani hao wazazi busara F.. hapo mke unaye kaka... Kama wamefikia hatua hiyo na akili zao ziko pungufu kiasi hicho mtumie mshenga wako na watu wa makamo wawili au watatu wanaozijua mila na desturi za kabila la mkeo wawakutanishe wewe, mkeo na wazazi wa pande zote mbili ikiwezekana ili mjadili kila kitu in and out.. vinginevyo utaja mchapa babamkwe makonde.
Nakushauri mtafutie bi mdogo kuongeza ushindani,mimi sasa hivi nimeamini kuwa ukitaka kujua tabia ya binti fuatilia tabia ya mama mzazi ama mlezi![/QUOTE]
Kwa hali kama yangu usemalo halina ubishi
Kaka hapa kweli yan ukitaka kujua tabia ya Mke best check tabia ya mama yake mzazi na hata akijificha thru kumuangalia machon unajua kabsa tabia yake na katika kuoa,tujaribu kuoa wasichana ambao wanatabia sawa na za Mama zetu wazaz na sio mamako mzaz hajichubui na wewe unaenda kuoa msichana ambae mamake anajichubua mpaka anakua mwekundu
Maandiko yanasema tuishi na wanawake kwa akili Ephesians 5:25
Nlivosoma ulichoandika nimekuelewa wewe ni wale wanaotaka kunyenyekewa na mke kama mfalme na hutaki hata kujisaidia mwenyewe.
wewe unataka mke akufanyie kila kitu hutaki kutoa mkono wako kusaidia shughuli za ndani...
Jiulize haya
Unasubiri mkeo akupikie kila siku akuwekee mezani akupakulie?
unasubiri kuwekewa maji bafuni kila siku na ikiwezekana uogoshwe
unataka mkeo ahangaike na watoto kila siku hutaki hata kuogesha mwanao na hata asbh kusaidiana pia.
Unataka kunyooshewa nguo kila siku, kufuliwa hutii mkono kusaidia..
Kama una tabia kama hizi utamwona mkeo ana kiburi dharau na jeuri..
saidiana na mkeo katika shughuli zote za ndani.
Mfumo dume umeshapitwa na wakati na sidhani kama una mamlaka ya kumfukuza mke kinyemelea arudi kwao
wakwezo wana haki ya kukukoromea kwa jeuri na ubabe wako.
labda niseme nimeishi na jamii ambazo mwanaume ndie anamtumikia mwanamke kwa upendo, kupika kupakua,kuandaa nguo ni shughuli ya kila mmoja kivyake.
hakuna kumtegemea mwenza akufanyie kila kitu na kama wote mnafanya kazi hiyo kejeli au kiburi hutaiona kwa mwenzako kwani kila mmoja atawajibika kwa mwezio inapowezekana na sio kunyenyekewa kama mfalme
Ni wiki imepita tangu nimrejeshe kwao wife kwa mara ya kwanza tangu tuoane miaka 10 iliyopita kutokana na kutozingatia makubaliano tunayowekeana kama couple na jeuri, ubabe pamoja na kiburi. Lengo la kumpeleka si kumfukuza bali ili wazazi wamhoji na kumshauri baada ya wazazi wangu kufanya kazi hiyo miaka zaidi ya 9. Wazazi wangu (mwanaume) wamekuwa kimbilio la mke wangu kwa zaidi ya miaka 9 hata pale mkosa anapokuwa ni yeye akiamini wao nitawasikiliza zaidi pale wanapoomba nimsamehe wife. Kwa upande mwingine hajawahi kimbilia kwao licha ya kuwa jirani na tunapoishi kwa kuona ndugu zake watamwona ameshindwa kuishi ktk ndoa. This time nimemwambia aende kwa wazazi wake na then tutaongea mambo yote pale baada ya wiki moja.
Siku mbili baada ya kufika kwao Mama yake kaanza kulaani mimi(mume) kumpa binti yao masharti ya kuishi ktk ndoa na kusema ni marufuku mimi kumpa masharti binti yao. Kwa tone hiyo hiyo siku nne baadaye baba mkwe kanipigia simu KUNITISHIA KWAMBA atamleta KWA NGUVU BINTI YAKE huku mama yake akisema nisipofungua nyumba wakati wa kumleta WATAVUNJA MLANGO WAMWINNGIZE NDANI.
Cha ajabu hawa wazazi wa binti hawajawahi niuliza tuna ugomvi gani, tometofautiana nini bali kunilaumu hata bila kunisikiliza. Hali hii inanifanya niamini kuwa ujeuri, ubabe na kiburi cha binti yao ambaye ni mke wangu kinakuzwa na hawa wazazi wake kwa kutokuwa rational.
Ndugu zangu wanachukulia huu kama udhalilishaji na vita isiyokuwa ya lazima ya ukoo na dharau kwa upande si wa ndugu zangu tu bali hata kwa mume wa binti yao.
NISAIDIENI BUSARA ZA KU REACT!!!![/QUOTE
We kiboko. nawe mtishie
Kama umehamia kwake mlivyofunga ndoa,mkahitilafiana akakufukuza utang'ang'ania(sio lazima akurudishe kwa wazazi)