Baba mkwe ndo mchawi wa mtoto wetu

Baba mkwe ndo mchawi wa mtoto wetu

pole sana,
ingawa nilikumiss na mathread yako; lakini ya leo imenisikitisha. I cant imagine mtoto kuumwa kiasi hicho.
unasali dhehebu gani kwani?
 
pole sana,
ingawa nilikumiss na mathread yako; lakini ya leo imenisikitisha. I cant imagine mtoto kuumwa kiasi hicho.
unasali dhehebu gani kwani?

Mi ni mu Lutheri. Kaunga naweza hata nikakukutanisha na mtoto wangu umuone...
 
YESU NI JIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sali zaburi ya 35 na onana na padri/pastor utaona maajabu ya bwana! Uimpa BACK TO SENDER MOJA harudii tena.

Mimi akienitenda kunilaza bedrest mwezi mzima nimempa BACK TO SENDER nae yuko bedrest wiki 2, hoi an apata dripu double double! Nae mwezi kitandani utamhusu!

Akishanena kwa lughaa akaachia BACK TO SENDER!!!!!!!!!!!Game over!

Yesu yupi huyo anaeoperate hiyo software ya Back to Sender? Duuh huyo ni kiboko, niunganishie namimi aisee
 
Hahahah najua wewe utakuwa ulifanya neno kwa neno sawasawa na ulivyoandika...

Btw huyu mtoto anaumwa na nina uhakika Mungu akimponya huyo Baba kama kweli ni kigagula basi moto atauona atiii...

ajue tu kwamba umejua yeye ndio chanzo ,ngoja nikusimulie kitu nilipomaliza chuo sikutafuta ajira nikajiajiri huko upanga -mazengonilikuwa na biashara yangu ilikuwa inalipa sana sasa mhindi mmja akafungua na yeye vimbwanga vikaanza hapo leo dawa mlangoni kesho kishimo hella ikaanza kupotea na kupotea biashara ikaniendea vibaya renew capita na wewe sasa alikuwa amezoea natumia gari fulani siku hiyo nikaja na gari nyingine tena tinted nikamsubiria wee kama 3hrs kweli akaja akakaa pale mlangoni akaanza kuchimba nikashuka paaaaap nilimlamba makofi nikamjazia na watu pale nikamchamba kisawasawa nakuhakikishia hakuendelea kunichawia haya mambo usiyaogope mpe laive.
ila kwa huyu AMPELEKE AKAOMBEWE ATAPONA KWA IMANI ,PIA AMWAMBIE HUYO BABA MTOTO WANGU AKIFA ATAMLA NYAMA PIGA BIT
 
mleta mada samahani, naona na wewe mwenyewe tayari ushatengenezwa na huyo Baba Mkwe. Ni kama hujielewi na huna mpango wa kuchomoka kwenye janga hadi upoteze mtoto.
DO SOMETHING MAN, GET OUT OF THAT SHIT!
TOKA!!!
TOKA!!!
Nasema TOKA kwenye minyororo ilifunga akili zako.
Wiyelele TOKAA !!!
TOKA umuokoe mtoto wako.
 
Jamani, nimejitokeza sana hapa. Kabla sijaendelea na kisa hiki, naomba nikuulize swali- Je unaamini kwamba uchawi upo? Mwenzenu imenibidi niamini tu pamoja na kashule kangu kadogo nilikokasotea pale Mlimani, na vyuo vingine. Ni hivi. Tangu tupate mtoto wetu wa kwanza miaka 5 iliyopita, amekuwa akiumwa kila siku. Kama ni hospitali zote za nguvu hapa amepita kwa kulazwa na si mara moja. Wazazi na mtoto wote hatuna ugonjwa wa kisasa. Ugonjwa huo wa ajabu, unamfanya mtoto apoteze fahamu.

Kwa kifupi, hospitali walishindwa. Nikaamua kusafiri zangu mwaka jana baada ya ushauri kwa rafiki yangu anaetoka Nyanda za Juu Kusini! Tukaenda nae kwao. Tulipita kwa watu tofauti wanne tena wanaishi umbali wa kilo mita karibu 60 au 70 kutoka kwa mwingine. Kila tulipofika tu bila kueleza chochote, walisema - "Mmeleta shida ya mtoto huyu". Kila mmoja wa "watalaam hao" alimtaja baba mkwe kwamba yeye ndo chanzo cha matatizo ya mtoto wetu.

Sikuamini moja kwa moja. Nilipata safari ya kikazi ya kwenda hapo Kigoma, nikambeba mtoto pia, nako nikaambiwa yale yale yanayofanana na wale wa Nyanda za Juu kusini (Mbeya na Rukwa).

Cha ajabu, mtoto akiumwa, baba mkwe anakuwa wa kwanza kufika hosp, na kutoa ushauri wake. Tena anahuruma sana, wakati mwingine huwa anaomba kukaa na mtoto karibu mwezi mzima! Kumbe kupindi mtoto akilazwa yeye ndo furaha yake!

Ni kweli nasalimiana nae, nacheka nae, ila namjua kwamba ni mbaya wangu. Hadi leo mtoto hawezi hata kuembea. Amenitia hofu ya kupata hata mtoto wa pili. Mke wangu tumeonge nae sana, nae anasema anamjua baba yake ila hakujua kwamba anaweza kuwa mbaya kiasi hicho! Jamani kuoa tuwe tunauliza, hasa tunaooa hapa Salidalama! Tunakutana tu kwenye daladala au kwenye FB!

Nikimuona baba mkwe, moyo wangu unakuwa mweusi sana! Sijui nifanyeje....
Hao waganga wanavyokueleza ndio diagnosis kwa shida kama hiyo maana ni elimu fulani. Ukienda kwa tatizo la aina nyingine unaweza kuambiwa m'baya wako ni mama mkwe. Pamoja na elimu ya chuo kikuu kama huwezi kua scientific mtegemee mungu ili uwe na utulivu wa moyo.
 
Dawa yake hapo ni kusimama ktk Wokovu

Maana hakuna Mkuu kuliko Yesu,
 
Faida kwa huyo baba mkwe kumfanya mtoto hivyo ni ipi?
 
Ni kweli kabla ya kuoa ni vyema kuzingatia huyo bint pamoja na ukali wa sura, umbo na shule kichwani anatokea wapi. Wadogo zetu mjifunze jamani hivi vingine vinaepukika, brother usife Moyo hilo litapita na ni vyema kukaa na kuongea na mkwe vzr, km hana nyimba au umeme muwekee tu afurahi. Ukute wewe unaishi vzr sana wkt yeye anaish vby sana
Mkuu utajuaje ushirikina wa mtu wakati huwa ni siri? Hata wewe huwezi jua kwenye ukoo wenu wapo au yupo
 
Hapa bado hujanisaidia sana, naomba ushauri. Ni kweli nakuelewa na kusali nasali pia, tena sana. Ila ilinibidi niache kwa muda nishughulikie swala la mtoto.

Yeremia 32:27 Tazama mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; Je! kuna neno gumu lolote nisiloliweza?

Hapa maombi yanahusika sana ikibidib yale ya kufunga kama mtaweza. Huwezi kumchanganya Mungu na wanadamu(hao waganga uliowaendea). Mtumaini Mungu pekee na uwe mwenye imani zadi. Pole sana ndugu
 
Biblia huandika ya kwamba, amelaaniwa mtu yule mwenye kumtegemea mwanadamu...

Yeremia 17:5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.

umeua bendi mzee, safi sana.
Good comment and advise
 
YESU NI JIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sali zaburi ya 35 na onana na padri/pastor utaona maajabu ya bwana! Uimpa BACK TO SENDER MOJA harudii tena.

Mimi akienitenda kunilaza bedrest mwezi mzima nimempa BACK TO SENDER nae yuko bedrest wiki 2, hoi an apata dripu double double! Nae mwezi kitandani utamhusu!

Akishanena kwa lughaa akaachia BACK TO SENDER!!!!!!!!!!!Game over!


mnhhhhhhhhhhhh
 
Yesu yupi huyo anaeoperate hiyo software ya Back to Sender? Duuh huyo ni kiboko, niunganishie namimi aisee

Unakumbuka neon linasema waombeeni adui zenu? ........... lakini haisemi tuwaombee nini... aisee kuna silaha kibao za vita aisee, upanga, mawe ya barafu, moto, mshale, rungu yaani hivi vyote ukivitumia katika ulimwengu wa roho mbona utasikia habari yake huyo mbaba. ........... Dawa ya wachawi ni kuamka saa sita usiku na kusali maana huo ndio muda wao wa kufanya uchawi wao. Na unaposali sio unalia lia haya ni maombi ya vita.
 
mchawi mpe mtoto akulele mwambie baba nimegundua wewe ndio chanzo cha mtoto huyu kuugua namna hii sasa nakuachia asipopona utanijua nakuhakikishia atajuta

Da Nivea utadhan ulikuwa ndan ya medula yangu,bro mpe mtoto au mchane makavu atakuulia Mwanao huyo ,ba mkwe macho mekundu? agrr! kwetu huku usukuman zaman ange.r.i.p,mpe makavu huyo
 
Back
Top Bottom