Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Gharama zote hizo mm sitoi,ukute baada ya siku chache wanawaza kukuua na kitandani ni kama gogo
 
sikia wewe kubargain inaruhusiwa wewe waambie utatoa mil 2 tu hii ni pamoja na hivyo vitu vyote na pia waambie utatanguliza 1m kwanza zingine baada ya miezi 6
 
Workmate alijaza mimba binti fulani tulipoenda kwao wazazi wake wakakomalia 5m kama fidia ya kujaza mimba na mahari, tukaondoka huku tumekula na kusaza, njiani mshkaji kakomaa mzigo mrefu hawezi, jamaa akaomba uhamisho kukwepa soo kaenda Shinyanga, binti kajifungua wazee wamezuia mtoto mposaji katokomea, baada ya mwaka binti kaomba uhamisho kwenda Geita, kumbe ilikuwa misheni kule Geita jamaa kajaza tena, mimba kufika miezi 7 kaomba likizo harudi Dar kwa uzazi,wazee kuulizia mzigo huu mpya wa nani wakaambiwa yule yule wa mwanzo wakaona isiwe tabu kaitwa kidume kalipishwa faini 500k kabebeshwa jumla vyote, wazee wakaona isiwe tabu.[emoji23]
 
Wazazi wapumbavu hao, mapenz ya watu wangapi yamekufa kisa wameshindwa kuwafuraisha watu baki? Upumbavu tu huo hata mimi nisingerud kudadeki
 
Hatari Sana...

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Tupe mrejesho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…