hata kama nikikubali au nikikataa,siwezi kufanya hivyo mbele yake.
wewe na nawe hujaelewa kabisa nilichomaanisah naomba nisipoteze muda zaid ila pitia post zangu utaelewaKama kuacha kumtongoza mwanamke mbele ya Baba DEMBA ndiyo kutani downgrade uanaume wangu basi na iwe hivyo!
Mwanamme anayetongoza mbele ya wakwe zake ni mwanamme wa hovyo hovyo kabisa!
Ulichokifanya ndicho hasa kila mwana mme mwenye akili timamu anastahili kukifanya!
No matter what;ni utovu mkubwa wa nidhamu kutongoza mbele ya wakwe zako! Anayetongoza mbele za wakwe zake without any reasonable doubt his upstairs is not normal!Huyo kwetu tunamuita ana "kigune"
Kweli baba mkwe alitoka outing akaamua kuwa huru mpaka kwene mazungumzo. Alikuwa huru tuu kwako wala usimuelewe vibaya.
yaani bhado hujanielewa............
bamkwe wako anajua kwamba mwanaume kaumbiwa tamaa na alikuwa anakuchora unavyo mtizama binti kwa jicho la wizi ilihali kumtizama kwa jicho la halali sio vibaya.
kimsingi nhuyo bamkwe alikuona poyoyo kwamba unashindwa hata kuitendea nafsi yako haki ya kutizama licha ya kutongoza. learn to be a man bhana.
Apa nilivo elewa ni kwamba huwezi kumzuia ndege kutua juu ya kichwa chako ila unaeza kumzuia asijenge kiota juu yako.
upo swahiba?
Huyo baba mkwe mbona anasound kama mzee majuto?unaweza kukubali mbele yake hlf mkirudi home anakusemelea
Umezisoma comments za mwanamke mwenzio gfsonwin lakini!? Msitulaumu tu wanaume while nyie wenyewe kumbe mnafurahia tukipiga mechi za ugenini hasa kama tumechagua viwanja vizuri!mmmh wanawake kazi tunayo.tuwaombee sana waume zetu waepuke vishawishi kila wanapoenda.umesema huwez fanya maamuz mbele ya.mkweo hata kama ulimtamani.just imagine umeacha mke home, ushamsahau na kuwaka tamaa.kutazama si kosa coz macho hayana pazia.kosa ni pale unapouruhusu moyo wako na akili yako kufanya maamuzi.tuheshim ndoa zetu na tuepuke tamaa.
huyu baba mkwe namsifu kwanza kaonyesha kwamba yeye ni mwanaume japo mzee lkn ana guts kuliko vijana wa kileo
not at all brodah!!
iko hivi huyu jamaa yeye kamtazam,a binti kwa jicho la wizi bamkwe kamwona akajikausha na akaendelea kumtizama binti kwa jicho la haki.
kimsingi bamkwe anajua wazi kwamba kutaman kwa mwanaume sio dhambi na hivyo kumtazama binti mrembo kwa jicho la haki sio kosa.
sasa jamaa anajidai malaika ilihali wanaume wameumbiwa kutaman na Mungu alisema tamaa ya mwanaume itakuwa juu ya mwanamke?? kimsing bamkwe kaonyesha uanaume ule wenyewe kwamba yeye hakutaka kijana achukue zigo ila alitaka kumwonyesha kijana uanaume ni nini.
Dada mkubwa leo umetupia kitu cha Uruguay nini? :smile-big:
mi mwenyewe hata sijielewi kwa kweli,,,,,,,,,,,,,ila tu akili yangu iko resi sana leo
ww umenielewa vzr sana, mwanaume ana sifa yake bhana na haswaaa anapojitambua.
ss wewe hata kumuangalia tuu una mwangali kwa jicho la kuiba halaf ukadhan bamkwe hakuon kumbe anakuona na anaona jins ulivyokuwa poyoyo